Vyama vya wafanyakazi ni makada wa CCM? Mbona mko kimya kwenye mafao mtu alipwe 25% baada ya miaka 60 ila mbunge analipwa 100%?

Kwakweli Kwa hili,Mungu mkubwa,najuta kuwa mtumishi wa Serikali.Huu Ni ukatili wa Hali ya juu,tunawakabidhi Kwa mungu,mungu atatulipia sisi wastaafu
Serikali yako sikivu inakupenda.hyo 75% inakutunzia kwa sababu we huna akili ya kujitunzia.ila wenyewe wamejipitishia sheria ya kujilipa asilimia 100.
 
Vishatekwa hivyo, vitu pekee ambavyo avijatekwa kwa sasa na wameshindwa ni Vyama CHADEMA na ACT, BIla kusahau TLS na ile NGO ya Human Rights
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom