Vyama vya Upinzani vyafungua kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga Sheria kandamizi ya vyama vya siasa kutumika

Udhaifu umekuwa ni kawaida kwa wana ccm? kutumia akili limekuwa jambo gumu mmebaki kujidhalilisha tu? Dah!
 
Kitendo cha viongozi wa vyama vinane vya upinzani kuishitaki Serikali katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kupinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ni dalili za kuishiwa agenda za kushawishi wananchi wajiunge na vyama vyao bali kutafuta jinsi ya wao wanavyoweza kubaki katika uongozi wa vyama mufu kisiasa.

Kimsingi marekebisho yaliyofanyika yanawalenga hasa viongozi wa vyama vya siasa kuwajibika zaidi kisiasa ndani na nje ya chama kisiasa kuliko ilivyo sasa ambapo wamehodhi mamlaka yote na kuvigeuza vyama vya siasa kama SACCOS au vyama vyao vya kujitafutia Utukufu, Madaraka, utajiri na Umaarufu.

Hivyo basi, haiingi akilini mwa wanachama na wapiga kura wa Tanzania viongozi hao kupeleka kesi ya kisiasa nje ya mipaka ya nchi pasipo mjadala wa kina wa wanachama wa vyama husika kujadili ubora na udhaifu wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa.

Ripoti za CAG, ambaye viongozi hao wanajikomba kumtetea, katika ripoti zake amekuwa akionesha jinsi ya matumizi mabaya ya fedha za chama na wala viongozi hawafanya jitihada zozote za kurekebisha hali hiyo.

Narudia kuwakandia viongozi wa vyama vya siasa walioko madarakani kwamba wanasukumwa na agenda binafsi na siyo ustawi wa siasa ya kidemokrasia nchini Tanzania.

Hakika, hawa viongozi wangekuwa na uwezo wa kuiondoa Serikali iliyoko madarakani kwa nguvu, wangefanya hivho. Kauli, mienendo na matendo yao yanaashiria kila aina ya "Uchu wa Madaraka" ili watimize agenda zao binafsi.

VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUJIVIKA NGOZI YA KONDOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki !
 
Bora hasara kwa wazazi wangu kuliko hasara kwa watoto wako kwenye mzazi asiyejiamini ila ukasuku na kushabikia wajasiriamali wa kisiasa.

Hivi hao viongozi wa kisiasa wakipata madaraka wewe kama wewe inakusaidia nini wakati unajua fika wanatumia vyama kujinufaisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hasara kwa wazazi wangu kuliko hasara kwa watoto wako kwenye mzazi asiyejiamini ila ukasuku na kushabikia wajasiriamali wa kisiasa.

Hivi hao viongozi wa kisiasa wakipata madaraka wewe kama wewe inakusaidia nini wakati unajua fika wanatumia vyama kujinufaisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi una akili timamu kweli ?
 
Kitendo cha viongozi wa vyama vinane vya upinzani kuishitaki Serikali katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kupinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ni dalili za kuishiwa agenda za kushawishi wananchi wajiunge na vyama vyao bali kutafuta jinsi ya wao wanavyoweza kubaki katika uongozi wa vyama mufu kisiasa.

Kimsingi marekebisho yaliyofanyika yanawalenga hasa viongozi wa vyama vya siasa kuwajibika zaidi kisiasa ndani na nje ya chama kisiasa kuliko ilivyo sasa ambapo wamehodhi mamlaka yote na kuvigeuza vyama vya siasa kama SACCOS au vyama vyao vya kujitafutia Utukufu, Madaraka, utajiri na Umaarufu.

Hivyo basi, haiingi akilini mwa wanachama na wapiga kura wa Tanzania viongozi hao kupeleka kesi ya kisiasa nje ya mipaka ya nchi pasipo mjadala wa kina wa wanachama wa vyama husika kujadili ubora na udhaifu wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa.

Ripoti za CAG, ambaye viongozi hao wanajikomba kumtetea, katika ripoti zake amekuwa akionesha jinsi ya matumizi mabaya ya fedha za chama na wala viongozi hawafanya jitihada zozote za kurekebisha hali hiyo.

Narudia kuwakandia viongozi wa vyama vya siasa walioko madarakani kwamba wanasukumwa na agenda binafsi na siyo ustawi wa siasa ya kidemokrasia nchini Tanzania.

Hakika, hawa viongozi wangekuwa na uwezo wa kuiondoa Serikali iliyoko madarakani kwa nguvu, wangefanya hivho. Kauli, mienendo na matendo yao yanaashiria kila aina ya "Uchu wa Madaraka" ili watimize agenda zao binafsi.

VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUJIVIKA NGOZI YA KONDOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga haumwachi mtu salama. Utaishia kujitoa ufahamu kama mtu wenu.
 
Umeandika kama huijui Tanzania ya leo.
 
Lakini mbona hawajatuita kwanza wanachama kutueleza tatizo ni nini ili tuwape baraka zetu huko waendako kwenye mahakama za kimataifa? Naona wameshatuona sisi wanachama ni waoga. ingekuwa kule zamani wangetwambia kwanza alafu tunaanza maandamano ili kesi ikifika huko mahakama za nje ya nchi yetu, watakuwa wanajua kinachoendelea.
Sasa, hata uko nje ya nchi wakiangalia kwenye Tv zao wanaona wote huku tupo kimya tumetulia hakuna hata vurugu yoyote, siwatadhani ni uongo sio kweli?
Mkuu wakuiteni wapi wakati mikutano ya vyama vya upinzani imepigwa marufuku?
 
Hata kesi ipekekwe popote na hukumu itolewe dhidi ya Serikali, hakuna mwenye kutoa hukumu iliyo na uhakika kama Mtanzania mpiga kura.

Lililo wazi ni kwamba viongozi wa upinzani wameamua kujihukumu wenyewe kuwa siasa si lele mama wala vyama vya siasa si kimbilio la kutafuta madaraka, utukufu na umaarufu kwa maslahi binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wapiga kura ambao hawaitaki CCM? Na hawaitaki serikali inayoundwa na CCM hakuna mtanzania anaipenda CCM kilichopo ni Tume Ya Uchaguzi, Polisi na Wakurugenzi kuwadhulumu watu haki zao za kuwachagua wawakilishi wanaowapenda kwa kuwatangaza wagombea wao
 
Kitendo cha viongozi wa vyama vinane vya upinzani kuishitaki Serikali katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kupinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ni dalili za kuishiwa agenda za kushawishi wananchi wajiunge na vyama vyao bali kutafuta jinsi ya wao wanavyoweza kubaki katika uongozi wa vyama mufu kisiasa.

Kimsingi marekebisho yaliyofanyika yanawalenga hasa viongozi wa vyama vya siasa kuwajibika zaidi kisiasa ndani na nje ya chama kisiasa kuliko ilivyo sasa ambapo wamehodhi mamlaka yote na kuvigeuza vyama vya siasa kama SACCOS au vyama vyao vya kujitafutia Utukufu, Madaraka, utajiri na Umaarufu.

Hivyo basi, haiingi akilini mwa wanachama na wapiga kura wa Tanzania viongozi hao kupeleka kesi ya kisiasa nje ya mipaka ya nchi pasipo mjadala wa kina wa wanachama wa vyama husika kujadili ubora na udhaifu wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa.

Ripoti za CAG, ambaye viongozi hao wanajikomba kumtetea, katika ripoti zake amekuwa akionesha jinsi ya matumizi mabaya ya fedha za chama na wala viongozi hawafanya jitihada zozote za kurekebisha hali hiyo.

Narudia kuwakandia viongozi wa vyama vya siasa walioko madarakani kwamba wanasukumwa na agenda binafsi na siyo ustawi wa siasa ya kidemokrasia nchini Tanzania.

Hakika, hawa viongozi wangekuwa na uwezo wa kuiondoa Serikali iliyoko madarakani kwa nguvu, wangefanya hivho. Kauli, mienendo na matendo yao yanaashiria kila aina ya "Uchu wa Madaraka" ili watimize agenda zao binafsi.

VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUJIVIKA NGOZI YA KONDOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni nani aliyekuambiwa sera zenu ninyi sisi wananchi tunazipenda sana?

Nani kakwambia mimi ni mwanachama wa chama fulani! Ebu soma kwa umakini hoja zangu na bandiko zangu.

Natanguliza Utanzania katika kujenga hoja kwa kuwa najiamini na nawajibika kutoa mawazo yangu ili yasaidie kupanua wigo wa majadiliano kuhusu Uraia, Haki na Uhuru katika nchi ya demokrasia ya vyama vingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha viongozi wa vyama vinane vya upinzani kuishitaki Serikali katika Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), kupinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ni dalili za kuishiwa agenda za kushawishi wananchi wajiunge na vyama vyao bali kutafuta jinsi ya wao wanavyoweza kubaki katika uongozi wa vyama mufu kisiasa.

Kimsingi marekebisho yaliyofanyika yanawalenga hasa viongozi wa vyama vya siasa kuwajibika zaidi kisiasa ndani na nje ya chama kisiasa kuliko ilivyo sasa ambapo wamehodhi mamlaka yote na kuvigeuza vyama vya siasa kama SACCOS au vyama vyao vya kujitafutia Utukufu, Madaraka, utajiri na Umaarufu.

Hivyo basi, haiingi akilini mwa wanachama na wapiga kura wa Tanzania viongozi hao kupeleka kesi ya kisiasa nje ya mipaka ya nchi pasipo mjadala wa kina wa wanachama wa vyama husika kujadili ubora na udhaifu wa Marekebisho ya Vyama vya Siasa.

Ripoti za CAG, ambaye viongozi hao wanajikomba kumtetea, katika ripoti zake amekuwa akionesha jinsi ya matumizi mabaya ya fedha za chama na wala viongozi hawafanya jitihada zozote za kurekebisha hali hiyo.

Narudia kuwakandia viongozi wa vyama vya siasa walioko madarakani kwamba wanasukumwa na agenda binafsi na siyo ustawi wa siasa ya kidemokrasia nchini Tanzania.

Hakika, hawa viongozi wangekuwa na uwezo wa kuiondoa Serikali iliyoko madarakani kwa nguvu, wangefanya hivho. Kauli, mienendo na matendo yao yanaashiria kila aina ya "Uchu wa Madaraka" ili watimize agenda zao binafsi.

VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUJIVIKA NGOZI YA KONDOO

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unafikiri kwa kutumia tumbo na makalio.
 
Tulia Dawa ifanye kazi.. Wakichanganyikiwa wewe inakuuma nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom