Vyama vya upinzani vya tanzania...tusaidieni jamani.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wana jf.....kiukweli vyama vyote vya upinzani vya tz buree kabisa, kila siku tunapiga kelele kuhusu hali mbya ya umeme na kuongezeka kwa ugumu wa maisha ya mtanzania wa kawaida, chakushangaza wao wapo kimya, sisi kama wananchi hatuwezi kuandaa maandamano, hebu kesho chama kimoja kitangaze tuu maandamano ya kupinga mgao wa umeme..awaone kama hatutatokea kwa wingi, kiukweli kabisa watz tumechoka na tupo tayari kwa chochote kwa sasa, mbona senegal wameweza? plz plz jamani vyama vyote vya upinzani mnaosoma hapa fikirieni kuhusu hili, na tutakua pamoja nanyi.
 
Hilo ni wazo zuri ni sisi wenyewe tuliowachagua na tukisema basi itabidi waondoke. inatakiwa mfungamano wa pamoja haswa kuanzia
vyama vya upinzani viwe kitu kimoja. ila wamtoe Mrema na Dovutwa hao ni watu hatari kwa jamii wamepandikizwa na ccm kuvuruga
upinzani. penye nia pana njia Serikali ya ccm iondoke madarkani kabla 2015 kwa sababu imeshindwa kuongoza serikali kwa kila kitu
kizuri. bali inaongoza kwa kila kitu kilichokuwa kibaya. Tujitahidi tutafika fikra zako zisiishie hapo ingia katika web site ya cdm na uwape
mawazo yako naamini watayafanyia kazi.
 
Hilo ni wazo zuri ni sisi wenyewe tuliowachagua na tukisema basi itabidi waondoke. inatakiwa mfungamano wa pamoja haswa kuanziavyama vya upinzani viwe kitu kimoja. ila wamtoe Mrema na Dovutwa hao ni watu hatari kwa jamii wamepandikizwa na ccm kuvurugaupinzani. penye nia pana njia Serikali ya ccm iondoke madarkani kabla 2015 kwa sababu imeshindwa kuongoza serikali kwa kila kitukizuri. bali inaongoza kwa kila kitu kilichokuwa kibaya. Tujitahidi tutafika fikra zako zisiishie hapo ingia katika web site ya cdm na uwapemawazo yako naamini watayafanyia kazi.
Naaamini hata humu jf viongozi wa vyama vya upinzani wapo, kama vile j.mnyika, zitto kabwe, dr w.slaa, na wengineo wengi tuu wapo na ujumbe huu wameupata...kwa nguvu zote tunawasihi sana viongozi wote wa upinzani mtusaidie katika hili, tumechoka kunyanyaswa na watu wachache kwa manufaa yao binafsi.
 
Back
Top Bottom