Vyama vya upinzani vitaleta mabadiliko gani Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya upinzani vitaleta mabadiliko gani Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungi, Sep 14, 2009.

 1. Sungi

  Sungi Senior Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya ni mojawapo tu ya maswali tuna debate kwenye familia yangu. Mimi na mzee wangu tuna philosophia tofauti kwenye siasa. Wakati yeye aliwahi kugombea ubunge kupitia chama cha CHADEMA uchaguzi mkuu iliopita, mimi mwanae nilimuuliza, ninyi (wa upinzani) mna nini kipya cha kuleta Tanzania? Ni swali dogo lakini linaweza kuwa "dissertation" topic ya graduate student katika political science. Sasa ninyi wa vyama vya upinzani kazi kwenu ... kwanza nani kiongozi wenu? Pili, wengi wenu mliasi CCM na kuingia vyama vingine ...? Nini kipya?
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mzee wako anakijua
   
Loading...