Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,299
- 3,411
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya
Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Sababu haukuwa na manufaa yoyote kwa mbowe na genge lake...wakaja kushiriki uchaguzi Mkuu ili kupata ruzuku na nafasi za viti maalumu ambavyo kina mdee walikuja kuviwahi. Nyakati zote hizo hapakuwa na Mabadiliko yoyote
Lipumba nae baada ya uchaguzi Mkuu akaitisha Press Conference akasema hawatashiriki uchaguzi wowote hadi Tume Huru ya Uchaguzi ipatikane lakin ghafla uchaguzi uliofuata ndani ya miezi miwili kule Pemba wameshiriki
CHA AJABU WANAMSAKAMA ZITTO KABWE KWA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO MUHAMBWE NA BUHIGWE