YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,911
- 51,902
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.
Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.
Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.
Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.
Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.
Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.
Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia
Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!
Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!
Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.
Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.
Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!
Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.
Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.