Vyama vya upinzani, uchaguzi huu ungeni mkono mgombea urais wa CCM hamna mgombea wa maana wa kushinda kwenu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.

Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.

Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.

Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.

Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.

Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia

Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!

Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!

Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.

Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.

Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!

Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.

Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.
 
Pia vigumu Raisi mgombea wa upinzani kushinda sababu hawana support vijijini ambako asilimia themani ya watanzania huishi na matawi ya vyama vyao upinzani hayapo
Utafiti huo uliufanyia wapi? Kwa taarifa yako mabosi wako wanajua kazi tuliyofanya ya Chadema Msingi na ndiyo maana walivuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ile ngoma ingepigwa huko Lumumba wangeshamwagana mavi. Chadema ina nguvu kuliko wajinga wengi wa Lumumba wanavyoaminishwa.
 
Fupisha story kwa kusema Magufuli hawezi siasa za ushindani, na iwapo atapata mshindani halisi, ni rahisi kutumia madaraka yake vibaya, kitu kitachoiweka nchi yetu kwenye darubini kali ya dunia. Naona mmewachota NCCR na CUF. Lakini mnajua fika hawana mvuto, na wasiwasi wenu mkubwa mnajua fika Magufuli hana uwezo wa hoja za ushawishi, hivyo iwapo atapambana na mtu kama Lissu au Zito, lazima atachemsha kwa hoja kama ilivyokuwa kwa JK 2010 dhidi ya Slaa.

Mnajua fika iwapo Magufuli atashindana na mtu kama Zito au Lissu, udhaifu wake kisiasa utazidi kuwa wazi. Hivyo mgawanyiko utazidi kuwa mkubwa ndani ya nchi hii. Unaonaje ligi ya nchi yetu ikawa ni ya simba, yanga na azam tu, kwani basi ndio wana uwezo wa kubeba kombe? Safari hii lazima ukweli uwekwe wazi.
 
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.

Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.

Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.

Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.

Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.

Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia

Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!

Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!

Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.

Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.

Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!

Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.

Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.
Mbona tayari vipo vingi tu, TLP imeshaunga, CUF na NCCR wanaandaa mikutano ya kuunga.

IMG_20200531_103555.jpg
 
Mbona tayari vipo vingi tu, TLP imeshaunga, CUF na NCCR wanaandaa mikutano ya kuunga.
Unashangaa Nini chama tawala unajua maana yake? Kinatawala kila Kona ikiwemo kutawala vyama vya upinzani.Viongozi wa CCM wako kote Hadi chadema huwezi waepuka
 
Inaelekea kuna nguvu ya ziada inatumika ili JPM asiwe na mpinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, je kuna sababu gani zinazowafanya hao wanaompigia debe wafanye hivyo?Je inawezekana kuwa afya ya JIWE ni tete kiasi kwamba hawezi tena kuhimili mikikimikiki ya kampeni za URAIS na hivyo wapambe wake ndani ya ccm wanaona wajenge hoja hata kwa kuwafunga wapinzani ili wasisimamishe mgombea wa kumpinga?

Mpaka hivi sasa nchi haina level playing field katika siasa kueleza uchaguzi mkuu; kwani ccm wanawaogopa wapinzani kiasi kwamba wameanza kuwazushia kesi ili wawafunge wasiweze kushiriki uchaguzi, yote hiyo ili kurahisisha Jiwe apite kiulaini!!!

Kama kweli ccm wanajiamini kuwa mtu wao anakubalika na wananchi wengi kwanini basi dola inatumika kuwathibiti wapinzani wenu? Yote hayo mnayofanya yanaonesha kuwa hamjiamini na kama kutakuwa na level playing field toka ndani ya chama chenu mpaka nje ya chama chenu , mgombea wenu ni ndoto kushinda!!!
 
Utafiti huo uliufanyia wapi? Kwa taarifa yako mabosi wako wanajua kazi tuliyofanya ya Chadema Msingi na ndiyo maana walivuruga mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ile ngoma ingepigwa huko Lumumba wangeshamwagana mavi. Chadema ina nguvu kuliko wajinga wengi wa Lumumba wanavyoaminishwa.
viongozi wa CCM walioko chadema ndio walitoa maamuzi Ya Chadema kugomea uchaguzi serikali za mitaa ili CCM ipite bila kupingwa
 
Inaelekea kuna nguvu ya ziada inatumika ili JPM asiwe na mpinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu, je kuna sababu gani zinazowafanya hao wanaompigia debe wafanye hivyo?Je inawezekana kuwa afya ya JIWE ni tete kiasi kwamba hawezi tena kuhimili mikikimikiki ya kampeni za URAIS na hivyo wapambe wake ndani ya ccm wanaona wajenge hoja hata kwa kuwafunga wapinzani ili wasisimamishe mgombea wa kumpinga?

Mpaka hivi sasa nchi haina level playing field katika siasa kueleza uchaguzi mkuu; kwani ccm wanawaogopa wapinzani kiasi kwamba wameanza kuwazushia kesi ili wawafunge wasiweze kushiriki uchaguzi, yote hiyo ili kurahisisha Jiwe apite kiulaini!!!

Kama kweli ccm wanajiamini kuwa mtu wao anakubalika na wananchi wengi kwanini basi dola inatumika kuwathibiti wapinzani wenu? Yote hayo mnayofanya yanaonesha kuwa hamjiamini na kama kutakuwa na level playing field toka ndani ya chama chenu mpaka nje ya chama chenu , mgombea wenu ni ndoto kushinda!!!
Nguvu ipi inayotumika? Kama ana mpinzani si awekwe hadharani. Nani amezuia JPM asiwe na mpinzani? Ukweli ni kwamba mpaka sasa imebaki miezi 4 kufanyika Uchaguzi Mkuu, lakini hatujaona mpinzani wa kushindana na JPM.
 
Miaka mitano sasa mliwazuia wasifanye siasa huku nyinyi mkifanya kila mlichotaka! Mliwanunua Wabunge na Madiwani wao kwa rushwa zilizotokana na kodi zetu,

mlivishughulikia vyombo vyote vya habari ambavyo havikuwalamba miguu yenu na kuwapoteza wakosoaji wenu kusiko julikana au hata kuwashambulia kabisa! halafu leo mnaanza kujitekenya wenyewe!

Wekeni Tume Huru ya Uchaguzi, waambieni polisi wasimamie hilo zoezi kwa haki, mruhusu vyama vyoye vya siasa kufanya siasa kwa usawa, halafu liwekwe hata JIWE tu dhidi ya huyo mgombea wenu uone kama hatutalichagua.
 
Ukweli ni kwamba mpaka sasa imebaki miezi 4 kufanyika Uchaguzi Mkuu, lakini hatujaona mpinzani wa kushindana na JPM.

Mtaonaje mpinzani wakati kila wakati mko busy kuwakamata na kuwabambikia kesi eti wamekula hela za ruzuku as if ccm wao wanapata clean certificates!! Mnawazuia wasifanye mikutano wala kuorganize vyama vyao kwa kusema eti mikutano yao sio halali; kama mnajiamini msitumie mahakama na dola kuwanyamazisha watu wanaopingana na nyinyi; juzi juzi mahakama imemyamazisha Zitto kuwa asizungumze kumpinga mtu wenu kwa kila mnachokiita uchochezi !! Hizo ni mbinu za chama kisichojiamini!!! CCM ni DHAIFU!
 
Kwahiyo, Serikali ndo imewazuia kumuandaa mtu akaeshindana na JPM kwenye Uchaguzi Mkuu. Kweli mmepoteana. Aisee mnachekesha sana nyie.
 
Vyama vya upinzani havina mgombea yeyote wa maana wa kushinda uchaguzi wa urais kupitia vyama vyao sababu vyote kwanza havina nguvu pande zote za muungano.

Chadema ina nguvu Tanzania bara tu mkoa wa Kilimanjaro tu kidogo mji wa Arusha upande wa Zanzibar hamna kitu. Hivyo akiwekwa mgombea uraisi kura kidogo ataziokota Kilimanjaro na Arusha kidogo ingawa nako sio rahisi kushinda sababu wanachadema wengi walitupa kadi za kupigia kura kwa hasira Lowasa aliposhindwa urais 2015 na waliapa hawaji kupiga kura tena milele.

Chadema haitakuwa na wapiga kura wengi Kilimanjaro na Arusha hivyo kushindwa kupata kura nyingi za urais.

Zanzibar Chadema haipo hivyo mgombea wake hataambulia kitu.

Ukija ACT Wazalendo upande wa Tanzania bara hakina nguvu na ndiko kunakoamua nani awe Rais sababu ndiko kuna wapiga kura wengi, upande wa Zanzibar ACT wazalendo inakubalika kea kiasi kidogo pemba sio yote bali eneo alikozaliwa Maalim Seif kwa hiyo kura za urais zitapatikana kaeneo hako kadogo tu hivyo kufanya mgombea uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo kutofika popote.

Vyama vya upinzani vyote vingine vilivyonaki having nguvu Zanzibar Wala Tanzania bara ni visindikizaji uchaguzi tu. Hivyo kuweka mgombea ni kapoteza tu muda na raslimali.

Tatizo lingine la upinzani ni kuwa pesa za kampeni hawana na wananchi hawajahamasika vya kutosha kuviamni hivi vyama kuwa ni mtetezi wao!! Hivyo kufanya mioyo Yao kuwa migumu kuingia mifukoni kuwachangia

Miaka yote mitano vyama vya upinzani badala ya kubeba agenda za wananchi walibeba agenda zao viongozi wa vyama!!! Mfano mfano mdogo madai yao makubwa ni la kwanza kudai tume huru itakayoshirikisha vyama vyote hapa wanajiongelea wao viongozi kuingizwa tume na wao walambe posho za tume na wao watangazwe na tume kuwa wameshinda. Hili haligusi mwananchi wa kawaida ni wao wanajipigania maslahi Yao!

Pili ohh wanataka uhuru wa kufanya mikutano hili pia ni lao viongozi wanajipigania wao kama wao sio agenda ya wananchi na hitaji kuu la wananchi. Wananchi hitaji lao kui sio mikutano ya hadhara!

Wanadai uhuru wa kuongea chochote. Mwananchi kwa hili mgumu kulielewa sababu mtaani yeye hujiongelea lolote .Hili nalo wanajilenga wao na maneno yao ya kutukana serikali lakini sio hitaji kuu la mwananchi.

Kiujumla upinzani haujagusa mahitaji ya mwananchi ili achangie vyama kampeni zinazokuja. Upinzani ujilaumu wenyewe kwa kutoshughulika na agenda za mahitaji muhimu ya wananchi kwa kipindi chote cha miaka mitano wakihangaokia hoja ni mahitaji yao na sio ya wananchi walio wengi.

Hata ukiangalia Lockdown down ya Corona walijionyelea wao na kuji lockdown down wao bila hata kushirisha wanachama wao wanajibebea agenda zao tu!

Lingine vyama vya upinzani pesa hawana wenye ruzuku wamezira zote na wagombea malofa hela hawana hakuna mgombea uraisi wa upinzani mwenye pesa za kuendesha kampeni nchi nzima hayupo.

Support ya mgombea yeyote wa upinzani wa kiti cha Uraisi kifedha na ki kura utakuwa mdogo mno safari hii hivyo heri tu kutoa tamko mapema kumuunga mkono mgombea wa CCM ili alishinda aweza kukikumbuka hicho chama mbele ya safari katika ufalme wake.
Mbona CHADEMA watajitoa? Muda huu inatafutwa sababu ya kuwaeleza wafadhili ili nao waunge mkono kujitoa kwao na wasishirikiana na serikali itakayoshinda uchaguzi. Cha ajabu hawafikirii kuwashawishi waTZ kwa sababu hakuna sababu itakayotosheleza
 
Mtaonaje mpinzani wakati kila wakati mko busy kuwakamata na kuwabambikia kesi eti wamekula hela za ruzuku as if ccm wao wanapata clean certificates!! Mnawazuia wasifanye mikutano wala kuorganize vyama vyao kwa kusema eti mikutano yao sio halali; kama mnajiamini msitumie mahakama na dola kuwanyamazisha watu wanaopingana na nyinyi; juzi juzi mahakama imemyamazisha Zitto kuwa asizungumze kumpinga mtu wenu kwa kila mnachokiita uchochezi !! Hizo ni mbinu za chama kisichojiamini!!! CCM ni DHAIFU!
Jinai ni suala la kila mmoja sio ishu ya mwanachadema
 
Waliambiwa wafanye kwenye maeneo yao. Acha kupotosha

Ohoo! Kwa hiyo Humphrey Polepole na na Dr. Bashiru Ally nao walifanya mikutano kwenye maeneo yao siyo! Na kama walitumia mgongo wa kuwa viongozi wa Chama,
ni kwa nini Dr. Mashinji (Katibu Mkuu wa Chadema wa wakati huo) mikutano yake ya ndani ilizuiliwa na polisi na wale Ma DC viherehere akina Ole Sabaya?

Halafu, hivi kuna Sheria inayo walazimisha wanasiasa wakiwemo viongozi wa vyama kufanya siasa kwenye hayo maeneo yao tu, au hilo ni tamko tu la mtu mmoja mwenye mamlaka ya juu kuliko Katiba ya nchi?
 
na maneno yao ya kutukana serikali
Umesha filisika kisiasa wewe,

kachukue Buk 7 zako lumumba ukale Burger pale kona ya msimbazi na Morogoro. Rod.

Mwenzako Musiba anamalizia kujenga nyumba yake kwao, na ameongeza ukubwa wa shamba lake la mazao ya kumwagilia huko Sengerema nadhani.

Yaani tokea 2015 CCm wanapiga campeni peke yao huku wakivizuia vyama vyoe vya upinzani na kiviingiza kwenye migogoro na kesi zisizo isha ili vidhoofike, Halafu wewe unakuja na ujinga wako huu wa ajenda za wananchi.

Pamoja na ukandamizaji wote huo bado CCM hawajiamini,

Wanajuwa Fika kuwa wananchi wanawasubiri kwenye kisanduku cha kura kuwamaliza ili wawe historia katika taifa hili.

Kweli waTanznia ni masikini ,lakini wanajuwa Nzuri na Mbaya, Kweli na Uongo

Mtanzania gani aliyesalimika na Ugumu wa Maisha uliosababishwa na CCM i na Serikali ya awamu ya 5?

Masikini kawa fukara,

Fukara kawa Omba omba

Matajiri wamekuwa masikini, na wengi wameonja Jela na kuzushiwa kesi za hapa na pale ikiwemo utakatishaji wa fedha.

Unataraji Mapenzi kwa chama Tawala yatokee wapi?

Hao wafanya kazi waliomo kwenye serikali wako roho juu, wakihofia kutumbuliwa wakati wowote.
Hakuna aliye na imani na CCM tena wala Utawala huu, kama ungewezekana kuondolewa kwa Kura basi mwaka huu ndio Mwisho wa CCM. Amini usiamni.

Unamuungaje mkono mgombea ambaye atashindwa kwa kishindo kwenye sanduku la kura?

Ungelitaka ningekwambia Mtu ambaye mwaka huu akisimama kugombea kwa tiketi ya Upinzani, Watanznia wote watamuunga mkono na utashangazwa mwenyewe.

Lakini bora tusubiri kidogo, ingali mapema Jiwe anaweza kupata presha na kuanguka kwa taharuki.
Lakini amini nakuambia, CCM itadondokea pua mwaka huu, Upimzani utaleta suprise ya kutisha ,wengi watashangaa
 
Jiwe kaubana goti shingoni uchumi kwa miaka mitano uchumi haupumui, awamu moja inamtosha yapaswa amuunge mkono tundu lissu uchumi wa nchi upae!
Hivi Tundu Lissu bado yupo? Mbona amekuwa mkimya? Au ni sababu ya kushindwa ile kesi yake ya ubunge! Aliona watu wamembaini kuwa sheria hazijui - maana alikuwa - "mwalimu usinibaini, wajinga ndio waliwao, nikipata kumi tano zangu tano zako"! (kama unajua kisa/hadithi hicho).
Corona imekuja, na imepita yeye kimyaaa! Na huyo ndo mtampambanisha na Dr.! Thubutu!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom