Vyama vya upinzani tumieni njia mbadala kufanya siasa vinginevyo mnapotea

Matusi??? Hivi ni lini mpinzani kaongea hawasemi ni matusi au uchochezi!!!!! Hivi unafkiri kauli za wanaccm mfano zanzibar haitolewi kwa makaratasi,tutashinda tu hata kwa goli la mkono,hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza seif mshindi n.k zingetolewa na upande wa upinzani hivi wasingekuwa jela kwa kosa la uchochezi???

Wapinzani hawana lugha za matusi sema mkikosolewa mnaona kma mnatukanwa!! Funny
sijawahi sikia mpinzani kuongea matusi ila wakiambiwa ukweli wao ni matusi
 
Nan

Nani kakwambia?

Kiukweli ni kuwa Mkulu hataki opposition ya aina yoyote ile, hata kama Katiba yetu ina accommodate mawazo mbadala.

Kifupi nchi yetu inaelekea kwenye utawala wa kiimla
uwezo si anao, afute vyama vingi, alishaelezwa mitandaoni bungeni nabhata kwenye vyombo vya habari, ni rahisi tu afute vyama basi kibaki ccm tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom