Vyama vya upinzani tumieni njia mbadala kufanya siasa vinginevyo mnapotea

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,526
2,000
CHADEMA, CUF, ACT,NCCR YAFANYIENI KAZI MAWAZO YANGU HAYA.
1. Igeni viongozi wa dini wanaolipia air time redioni/ television kufanya mahubiri. Hivi nyie mnashindwa kulipia airtime na mkanadi sera zenu na mikakati mbalimbali ya vyama vyenu? Hebu amkeni hela za ruzuku mnazopata mnaweza kabisa kulipia vipindi redioni na kwenye TV mkaendelea kujipambanua. Fanyeni POSITIVE CRITICS kwa serikali ila msiporomoshe matusi. Mkitukana tu itakula kwenu.
2. Tumieni Social medias mbalimbali kusambaza jumbe za msingi na hata kupinga yale yanayofanywa ndivyo sivyo na serikali. Mfano: Facebook ina watu wengi sana wa kawaida ambao ndiyo mtaji wa CCM...Msiidharau facebook...kuwafikia wananchi huko vijijini. Social medias zingine mnazijua na walengwa wake mnawajua. Amkeni.
3. Andaeni makala mbalimbali na mzipeleke zikachapishwe kwenye Magazeti yanayoheshimika. Kupitia hizo makala ujunbe kwa wananchi utawafikia tu.
4. Tengenezeni LIVE STREAMING kwenye youtube, Jamiiforums, n.k n.k ili huko pia muwe mnarusha mikutano yenu ya ndani ya kisiasa...wenye access na hizo medias nao watawapata.
5. Tengenezeni video/ audio clips mbalimbali muwe mnazirusha WhatsApp, Instagram, Twitter n.k n.k.
ANGALIZO: Epukeni matusi ili mpate wasambazaji wengi na uungwaji mkono na watu wengi katika siasa za sasa.
Hayo ndiyo mawazo yangu kwenu CHADEMA, CUF, ACT, NCCR.
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162

kaka umenena, na vile sasa mpaka vijijini watu wana smartphone na wanafatilia sana, nimetoka juzi vijijini huko visiwani katika ziwa victoria, watu wana mwamko sana, hongera halotel kwa kusambaza mitandao vijijini, hapobnaunha mkono
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
Mleta mada uko mgeni Tz hii, una kumbuka yaliowapata Radio five, Mawio, ITV, Jf nk kwa kukubali tu kurusha matangazo yanayopromote upinzani??!!. Katiba yetu bado elements za kikoloni na imekaa vibaya kwa wapinzani watu wote wajitolee kuibadilisha.
kasema wasitoe lugha za matusi
 
dolevaby

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
11,904
2,000
CHADEMA, CUF, ACT,NCCR YAFANYIENI KAZI MAWAZO YANGU HAYA.
1. Igeni viongozi wa dini wanaolipia air time redioni/ television kufanya mahubiri. Hivi nyie mnashindwa kulipia airtime na mkanadi sera zenu na mikakati mbalimbali ya vyama vyenu? Hebu amkeni hela za ruzuku mnazopata mnaweza kabisa kulipia vipindi redioni na kwenye TV mkaendelea kujipambanua. Fanyeni POSITIVE CRITICS kwa serikali ila msiporomoshe matusi. Mkitukana tu itakula kwenu.
2. Tumieni Social medias mbalimbali kusambaza jumbe za msingi na hata kupinga yale yanayofanywa ndivyo sivyo na serikali. Mfano: Facebook ina watu wengi sana wa kawaida ambao ndiyo mtaji wa CCM...Msiidharau facebook...kuwafikia wananchi huko vijijini. Social medias zingine mnazijua na walengwa wake mnawajua. Amkeni.
3. Andaeni makala mbalimbali na mzipeleke zikachapishwe kwenye Magazeti yanayoheshimika. Kupitia hizo makala ujunbe kwa wananchi utawafikia tu.
4. Tengenezeni LIVE STREAMING kwenye youtube, Jamiiforums, n.k n.k ili huko pia muwe mnarusha mikutano yenu ya ndani ya kisiasa...wenye access na hizo medias nao watawapata.
5. Tengenezeni video/ audio clips mbalimbali muwe mnazirusha WhatsApp, Instagram, Twitter n.k n.k.
ANGALIZO: Epukeni matusi ili mpate wasambazaji wengi na uungwaji mkono na watu wengi katika siasa za sasa.
Hayo ndiyo mawazo yangu kwenu CHADEMA, CUF, ACT, NCCR.
Ndugu wewe ni mgeni kwenye NCHI hii?
Kwani watawala wamekataza wasipite kwenye Viwanja
Hawatakiwi kusikika....
Chombo gani cha habari chenye Jeuri yakutangaza habari zisizopendwa kusikika na watawala
 
Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,898
2,000
Huu ni muda wa kazi. Chaguzi zikokaribia kila mtu ataruhusiwa kufanya kampeni.

Tatizo mlizoeshwa kupindisha sheria hadi mkaona kuwa ni haki yenu.
 
hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,314
2,000
Kitu unacho kizungumza ndio kinacho fanywa na vyama vya upinzani sasa.

Kwa mfano mijadala yote inayobendelea kwenye media kuhusu siasa za tanzania kwamba nani kafanya nini? na nani kazungumza nini?
Na wananchi wanapima ni nani yupo sahihi?

Na nani watampigia kura mwaka 2020?

Yote hayo wananchi wanajua. kupitia medeia na hiyo ndio inaitwa siasa ya kisayansi.
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,513
2,000
Mleta uzi uko sahihi. Lakini ki ukweli eneo la wapinzani kufanyia siasa kwenye nchi hii ni ndogo sana. Hizo redio, tv na hata magazeti kwa sasa yanaogopa sana kufanya kazi na upinzani na hili sio siri liko wazi kabisa.

Seheme wangalau wanaweza ni huku mitandaoni na pia hiyo mikutano ya ndani ambayo nayo kukwamishwa ni rahisi sana. Kitu ambacho hujakifahamu mleta uzi ni kwamba, rais wetu ni mwanasiasa asiyeweza siasa za ushindani na pia hana siasa za ushawishi. Hivyo njia pekee ni yeye kuhakikisha wengine hawapati nafasi ya kufanya siasa na hata wakifanya ni kwa vikwazo vingi.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,955
2,000
CHADEMA, CUF, ACT,NCCR YAFANYIENI KAZI MAWAZO YANGU HAYA.
1. Igeni viongozi wa dini wanaolipia air time redioni/ television kufanya mahubiri. Hivi nyie mnashindwa kulipia airtime na mkanadi sera zenu na mikakati mbalimbali ya vyama vyenu? Hebu amkeni hela za ruzuku mnazopata mnaweza kabisa kulipia vipindi redioni na kwenye TV mkaendelea kujipambanua. Fanyeni POSITIVE CRITICS kwa serikali ila msiporomoshe matusi. Mkitukana tu itakula kwenu.
2. Tumieni Social medias mbalimbali kusambaza jumbe za msingi na hata kupinga yale yanayofanywa ndivyo sivyo na serikali. Mfano: Facebook ina watu wengi sana wa kawaida ambao ndiyo mtaji wa CCM...Msiidharau facebook...kuwafikia wananchi huko vijijini. Social medias zingine mnazijua na walengwa wake mnawajua. Amkeni.
3. Andaeni makala mbalimbali na mzipeleke zikachapishwe kwenye Magazeti yanayoheshimika. Kupitia hizo makala ujunbe kwa wananchi utawafikia tu.
4. Tengenezeni LIVE STREAMING kwenye youtube, Jamiiforums, n.k n.k ili huko pia muwe mnarusha mikutano yenu ya ndani ya kisiasa...wenye access na hizo medias nao watawapata.
5. Tengenezeni video/ audio clips mbalimbali muwe mnazirusha WhatsApp, Instagram, Twitter n.k n.k.
ANGALIZO: Epukeni matusi ili mpate wasambazaji wengi na uungwaji mkono na watu wengi katika siasa za sasa.
Hayo ndiyo mawazo yangu kwenu CHADEMA, CUF, ACT, NCCR.
Mkuu haya ni mawazo mazuri sana nakuunga mkono 100% ila shida ni utekelezaji wake mfano hyo youtube channel itaitwa ya kichochezi pia hayo magazeti yatakayoandika makala yataitwa YANATUMIKA na yataishia kunyooshwa kma Mawio ama MwanaHalisi!!!!!

Mkuu kuhusu social medias ni hoja nzuri ila kumbuka kwa takwimu za TCRA 45% ya wtanzania hawana simu kufkia 2015 let alone kuaccess social medias so sio rahisi kihivyo watu kufikiwa kwa urahisi unlike marekani ambako internet access ni 100%
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,955
2,000
wapinzani wana njia mbili tu. kufuata katiba na sheria ili kufanya siasa ama kuacha siasa.
Mbona sheria ya vyama vya siasa inayoruhusu mikutano bila ukomo imekuwa ikifuatwa na wapinzani miaka yote leo vp sheria hyo imekanyagwa afu ndio mseme wapinzani hawafuati katiba
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,955
2,000
Huu ni muda wa kazi. Chaguzi zikokaribia kila mtu ataruhusiwa kufanya kampeni.

Tatizo mlizoeshwa kupindisha sheria hadi mkaona kuwa ni haki yenu.
Sheria gani inasema ssa ni muda wa kazi?? Kwani siasa sio maisha ya kila cku?? Mbona CCM na magufuli wanafanya mikutano ya kisiasa au wanapofanya wao kazi zinafanyika ila akifanya mnyika kazi hazifanyiki??

Unafki acheni
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,955
2,000
kasema wasitoe lugha za matusi
Matusi??? Hivi ni lini mpinzani kaongea hawasemi ni matusi au uchochezi!!!!! Hivi unafkiri kauli za wanaccm mfano zanzibar haitolewi kwa makaratasi,tutashinda tu hata kwa goli la mkono,hakuna mwenye ubavu wa kumtangaza seif mshindi n.k zingetolewa na upande wa upinzani hivi wasingekuwa jela kwa kosa la uchochezi???

Wapinzani hawana lugha za matusi sema mkikosolewa mnaona kma mnatukanwa!! Funny
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
Sheria gani inasema ssa ni muda wa kazi?? Kwani siasa sio maisha ya kila cku?? Mbona CCM na magufuli wanafanya mikutano ya kisiasa au wanapofanya wao kazi zinafanyika ila akifanya mnyika kazi hazifanyiki??

Unafki acheni
nahisi inakuwa ni sikubza mapumziko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom