Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli, vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge

Goodhope12

Member
May 15, 2017
24
16
Vyama vya upinzani Tanzania kiukweli vimelala sana , vimeacha kutetea haki na maslahi ya watu wanyonge kama vile:
.Ajira kwa vijana
.Ongezeko la mishahara kwa watumishi wa umma.
.Mikopo ya wanafunzi vyuo vikuu
Wao wapo tu wanatu hadaa wananchi , kwa hali hii ya wapinzani wa Tanzania walivyo bora tu CCM iendelee kutawala. HAKUNA NAMNA (nimemkumbuka sana Dr, slaa enzi zake yuko CHADEMA)
 
Upinzani kwa nchi hii bado sana, sio kwa watanzania hawa!!!
 
Back
Top Bottom