Vyama vya upinzani Tanzania imarisheni umoja wenu wa UKAWA

Mahara Nguku

Member
Dec 9, 2014
27
7
Napenda kuchukua nafasi hii kuvishauri vyama vya upinzani vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi, {ukawa}, Kuimarisha umoja wao ambao mpaka sasa tumeona matokeo mazuri ya uchaguzi wa serikali za mitaa,umoja huu ambao tumeonja matunda yake kwa sehemu, unaashiria  nguvu ya pekee sana ambayo ni tishio kubwa kwa CCM, msikubali kuuvuruga umoja huu, uimarisheni zaidi maana sisi wananchi tuko tayari kwa lolote mtakalotuamlia ili mradi lina maslahi kwa wapenda haki kama mimi.

KILA LA KHERI UKAWA.
 
Yes nakuunga mkono . Tunataka umoja wa nguvu mno. Msiwasikilize Majambaz CCM hawachelewi kuwagombanisha. Maana saiz wanasherekea udhindi wa Mapingamizi. Maana wameshagundua ushindi wa kawaida hawaupati. Wanachekesha.
 
Naunga mkono hoja, ukawa ni vizur wakawa wanafanya tathimini kila baada ya muda juu ya mafanikio na changamoto mbalimbali. Pia ni muhimu wakaenda kwa wananchi kuwashukuru kwa kuwaamini kwenye serikali za mitaa.lakini pia ukawa wajitaidi kuwawezesha viongozi wao waliochaguliwa kupitia mitaa na vijiji ili waweze kuwatumia watanzania wote kwa usawa.
 
UKAWA ALUTA CONTINUE,msimsikilize mtu wala propaganda za chama cha mashetani.ninyi ni tumaini kwa ajili ya wanyonge na daima mtembee na msimame upande wa maskini na wanyonge wanaoteseka katika Taifa hili.MUNGU AWABARIKI.Kumbukeni mtakapo pata dola KAMWE msirudie,UJINGA,UPUMBAVU,UDHALIMU,UFISADI na USHENZI wote unaofanywa na CCM mjue hayo mambo ni machukizo kwa wananchi na MUNGU ALIYETUUMBA.Mambo machafu yatakayo iondoa CCM Madarakani ndio hayo yanayo ondoa serikali nyingi zinazo ongozwa na vichwa maji kama hawa wa TANZANIA.Kila mtu hujikaanga kwa madhambi yake.Watanzania tuungane kwa umoja wetu na tuache kulalamika na Tuchukue hatua kujikomboa IKIWEZEKANA HATA MAPINDUZI kwa ajili ya faida ya watu wote na si familia za watu wachache.
 
Ni kwel kama umoja kule kenya wa uhuru na Ruto ulikua na tija hata huku kwetu yawezekana tupo pamoja
 
Back
Top Bottom