Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Mungu muumba.
Naomba tujadiliane tena kuhusu hili, nadhani kila mumoja wetu anafuatilia siasa za hawa ndugu zetu waupinzani. Sasa hivi kila siku kwenye mikutano utakuta wanazungumzia na kuamua au kuishinikiza serikari itangaze njaa kana kwamba swala hilo ni lakushabikia, kumbe wasijue kukosekana kwa mvua hakusababishwi na raisi wala kutokea kwa tetemeko hakusababishi na kiongozi yeyote wa serikari. Kinachonishangaza wapendwa nikwamba, badala ya hawa viongozi kuiombea inchi yetu isipatwe na majanga au hata kutufundisha jinsi gani tuwajibike ilituepukane na matokeo ya majanga hayo, wao nikusema na kuishinikiza serikali itangaze hali ya njaaa kanabkwamba ni sifa. Kwani serikari hata ikitangaza hivyo ndo itakuwa tiba ya hayo majanga??
Kwa mda mrefu tanzania imehangaika na janga la UFISADI, RUSHWA NA UBADHILIFU WA MALI ZA UMAA, sijasikia kiongozi yeyote wa siasa hasa upinzani akiliongerea tena, je ina maana ufisadi, na rushwa vimeisha?? mbona ndo ilikuwa ni wimbo wenu??
Kwa wanasiasa ninayemsikia akikemea Ufisadi na Rushwa na Raisi MAGUFULI tuuu. kwa nini jamani??
Naomba msaada kutoka kwenu.