Vyama vya siasa feki Tanzania

Unajua wewe unafanana na mzazi anayeenda kugombana na mwalimu kwa sababu amemuadhibu mtoto wake!

Hapa uozo wa CUF uko bayana, sasa badala ya kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF wewe unatafuta jinsi ya kuwatetea huku uozo ukiwa uko palepale.

Swala la website ya CUF lina uhusiano gani na Buzwagi, BoT etc.?

Hii tabia ya kutetea kila uozo wa upinzani kwa kulinganisha na udhaifu wa CCM ndio inafanya mpoteze nguvu ambazo mngezitumia kuviimarisha hivyo vyama. Kama sasa hivi ungetumia muda uliotumia kuleta misutano ya kuhusu CCM ambayo wala haikuwa na uhusiano wowote na thread hii pengine ungeweza kutumia muda huo kutafuta jinsi ya kuwasaidia CUF kuiweka website yao hewani.

Kutetea uozo hakutakinufaisha chama chochote kile.
 
Jibu maswali hapa na usilete propaganda za Kigunge hapa.. mambo ya mama na mwalimu unayajua huko ufisadiland na sio hapa JF..

Jibu haya maswali kuhusu ulichopata ccm:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?

Na nimekuwekea kwa rangi yako ya kijani labda utayaona vizuri.
 
Swala la website ya CUF lina uhusiano gani na Buzwagi, BoT etc.?

....

Kutetea uozo hakutakinufaisha chama chochote kile.

Mhh. heading yako inasema vyama feki Tanzania! kama hutaki ccm ijadiliwe au kama unadhani ccm sio chama feki basi unaweza kuibadili na kuiita vyama feki (isipokuwa ccm) Tanzania....
 
Kwa ukweli wa moyoni kwangu sipendi kabisa vyama vya siasa viitwe upinzani... hii ni logoc ya kuiga na ya kijinga. Unaposema upinzani ina maana kubwa sanakwa mwananchi ambaye alinyimwa shule....
Tuvipe vyama vya siasa heshima vinavyostahiki. Kwani vikiitwa vyama shindani itakuwa dhambi???

Mwafrika naona Zemarcopolo amekuamkia leo... hehe.... kaaaz kweli kweli
 
msanii... huyu zemacorpolo tumegongana mara nyingi akiwa anatetea ufisadi na kila mara anakutana na mawe ya JF na kuanza kulialia kama kitoto mambo yakimzidi.

Hapa hakuna bureki... yeye anasema kuwa kuna vyama (wingi) feki tanzania na akipewa ufeki wa ccm macho yanamtoka na vilio kibao..... ufisadi hapa hauna nafasi.

Yeye aendelee huko TBC au uhuru, au radio tanzania ambako atamwaga propaganda za kingunge na kushangiliwa lakini sio hapa.
 
Naona umeamua kuanza fabrication, unaweza kuonyesha post yangu yoyote niliyotetea ufisadi?Au kuwakaribisha wana JF kwenye website ya CUF ni ufisadi?

Kama alivyokwambia mwana JF mmoja, maana ya neno ufisadi sasa naona inabadilika. Wekeni humu hiyo definition mpya ili tuweze kuelewana.
 
umemkaribisha nani kwenye website ya CUF?

Jibu maswali yafuatayo kuhusu ulichopata ccm:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Kwani kwenye thread hii nimesema vyama feki ni vipi?

hicho ndicho kinaendelea kutafutwa hapa kwa kuanzia na ulichoweka kuhusu CUF na ukasema kuwa umepitia website za vyama kutafuta sera na katiba.

Haya tuanze na ccm, jibu swali lifuatalo kuhusu ccm:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
hicho ndicho kinaendelea kutafutwa hapa kwa kuanzia na ulichoweka kuhusu CUF na ukasema kuwa umepitia website za vyama kutafuta sera na katiba.

Haya tuanze na ccm, jibu swali lifuatalo kuhusu ccm:

Achana nae naona alitaka alete hasira zake....na kutetea hoja aliyo anzisha anashindwa....wkt majibu yapo wazi kabisa una haidi maisha bora kwa kila MTZ kisha kumbe opposite.
 
Kwa hilo unaweza kuendelea peke yako, mimi si msemaji wa CCM.

Hiki ndicho ulisema kwenye post yako hapa (post namba saba):

zemarcopolo said:
Hii ya CCM imenipatia majibu niliyokuwa natafuta, nini kimekosekana kwani?

Niko kwenye kuandaa jibu la swali lako ndio maana nimeingia kwenye hekaheka za kutafuta sera za CUF nikagundua kuwa haziko reachable!

Sasa nakurudisha kwenye swali na kitu ulichotaka kuhusu ccm baada ya kusema kuwa ccm imekupatia majibu uliyotaka:

na ulikuta nini kuhusu Buzwagi, Richmonduli, wizi BoT, Kiwira, Bulyanhulu, rada feki, ndege ya bei ya kutupwa, na ukosefu wa huduma muhimu nchini?
 
Hiki ndicho ulisema kwenye post yako hapa (post namba saba):

Sasa nakurudisha kwenye swali na kitu ulichotaka kuhusu ccm baada ya kusema kuwa ccm imekupatia majibu uliyotaka:

Umedhihirisha hujanielenielewa nilikuwa nazungumzia swali gani, ila nevermind kwa sababu huna hata lengo la kuelewa.
 
Achana nae naona alitaka alete hasira zake....na kutetea hoja aliyo anzisha anashindwa....wkt majibu yapo wazi kabisa una haidi maisha bora kwa kila MTZ kisha kumbe opposite.

Huyu simwachi mpaka ajue kwa hakika kuwa JF sio radio tanzania au gazeti la uhuru!
 
Hiki ndicho ulisema kwenye post yako hapa (post namba saba):

Sasa nakurudisha kwenye swali na kitu ulichotaka kuhusu ccm baada ya kusema kuwa ccm imekupatia majibu uliyotaka:

ameishiwa majibu wamezoea kutudanganya sana sasa tumefunguka macho wakae chonjo...
 
Back
Top Bottom