YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Nimeshangaa yaani hata marekani kuna vibibi na vibabu ving`ang`anizi wa kisiasa.Yaani wagombea uraisi wa marekani ni wazee watupu
Trump ana miaka 69
Clinton ana miaka 68
Sanders ana miaka 74
Ni vizuri waje wajifunze kwa CCM Tanzania toka tupate uhuru hatujawahi kuwa na mgombea uraisi mzee kama hao wa kwao.
Hivi hamna vijana wa kugombea uraisi hadi hao vibibi na vibabu wagombee?
Halafu wanawaita wazee wetu akina Mugabe eti vizee ving`ang`anizi huyo Hilary CLINTON kwa umri huo ni baby?