GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Tumeshuhudia CCM ikiadhimisha miaka 35 ya kuzaliwa kwake. Na huu ni utaratibu mzuri wakuadhimisha siku ya kuzaliwa hata kwa wanaadam, kwani yaonyesha ulipotoka, ulipo na unako elekea. Utaratibu huu wakuadhimisha siku za kuzaliwa sijauona kwa vyama vingine. Je ndio kusema hivi vyama vingine havijui hata siku zao za kuzaliwa? Je kitu kidogo kama hicho hawakijui , kweli tukiwapa madaraka yakuongoza dola wataweza ?. Kumbukeni, anaesahau asili yake huyo ni mtumwa