Vyama vichanga eti navyo havishiriki uchaguzi zanziba

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
ufinyu wa fikra kutoshiriki uchaguzi wa marudio znz kwa vyama vichanga kisiasa ni kutokujiamini.

siasa sio kuiga siasa ni kujibambanua pale unapoona bado hukubaliki kwa jamii.
nimeshangaa leo wanakataa kushiriki uchaguzi wakati wakijadili muafaka wa seif a.k.a sawasawa na ccm zanzibar baadhi yao walilalamika kwa nini wao hawashirikishwi.
navyoona wamejiona hawajulikani zanzibar .
ili chama kisajiliwe ni lazima uwe na wanachama bara na zanzibar pasipo shaka hivyo vyama vinavyokataa kutoshiriki uchaguzi vinastahili kufutwa usajili wake
 
Ni uendawazimu kuingia vitani huku ukijua fika utapigwa kipigo cha mbwa mwizi ( whether kihalali au kwa figisu).

Akina CHAUMA waneshtuka. Ni bora pesa hizo badala ya kuzitupa kwenye campaigns, wakalipie pango la ofisi zao
 
Kushiriki au kutoshiriki kwao kulitegemea upande gani utatoa fungu kubwa!
Mafisadi wameshinda
 
Sasa unalazimisha, si walishashiriki uchaguzi wa 25th oct, na sasa wanasema imetosha, unajingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom