Abdul Nondo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 515
- 2,874
Napenda kutoa maoni yangu vyama hivi vingefanya nini badala ya maamuzi haya yaliotolewa kutoshiriki chaguzi za marudio ya majimbo kadhaa.
Kwanza lazima tujue ,bado tuna miaka 2 kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mingi saana kama viongozi wa vyama hivi watatumia akili kubwa.
Ni wazi vyama pinzani viliingia katika chaguzi za madiwani (by election) mwaka huu kwa kuelewa hali ilivyo ni kama hali ya miaka yote kuwa watu wanashiriki uchaguzi vizuri kwa amani ingawa figusi zilikuwepo ila sio kama zilizotokea mwaka huu hii ilikuwa ni picha kwa viongozi wa vyama pinzani kusumbua kichwa kujua tufanye nini,tupinge nini,tusimamie nini ili yasijitokeze tena yaliyojitokeza katika chaguzi za madiwani? ,hivyo hii ni picha wapinzani wangetakiwa kuichukua kujua njia gani,na njama zipi hutumiwa na CCM kushinda chaguzi sababu chaguzi za udiwani upinzani hawakuwahi jua kuwa hali sio kama ya miaka yote.
Chaguzi hizi wangezibeba kama funzo kubwa la kujifungia na kuwaza kipi wanatakiwa kukifanya kuelekea uchaguzi wa marudio majimbo na 2020, chaguzi za madiwani zilikuwa ni chaguzi za funzo kuwa njia gani zitumiwe,kuandaa intelejensia ya uhakika kujua kama yaliyotokea katika chaguzi za madiwani zilikuwa ni makusudi,maagizo,au u ni bahati mbaya, hasa nini kilikuwa nyuma yake kipi kilikuwa chanzo cha vurugu?
Pia vyama hivi vingepata majibu wazi kuwa hali ipoje katika chaguzi zetu TZ,hii ingeonekana na kuleta majibu kupitia chaguzi hizi ZA MAJIMBO,kuwa clearly hali ipoje kuelekea 2020 na kama intelligence ya vyama pinzani ingekuwa imara Siri nyingi ,mipango ovu mingi ingegundulika kama ipo,hivyo vyama pinzani hakika vingekuwa na grounds nyingumi,facts,evidence.
Hivyo uchaguzi huu wa ubunge(by election) ungechukuliwa kwa kufanyia kazi makosa yaliyojitokeza ,pia kuangalia muendelezo wa aina na style ya chaguzi katika awamu hii ya tano kuelekea uchaguzi mkuu 2020.
Uchaguzi wa madiwani na vurugu zake haukutakiwa kuwa uchaguzi wa kutafsiri na kuchukua maamuzi makubwa ya kususa uchaguzi bila Ku execute njia zingine stahiki, huku mkiendelea shuhudia mwenenendo wa CHAGUZI ZA MAJIMBO kuendelea kupata njia namna gani ya kukabiliana kuelekea 2020.
Sababu njia CCM watakazotumia katika uchaguzi huu wa marudio majimbo ili washinde kwa lazima na kwa kuvunja sheria,ndio zitakazotumiwa 2020 hivyo mtakuwa mnajua hali ipoje,na tukabiliane nayo namna gani,movement ipi ianzishwe kabla ya uchaguzi 2020 kupinga vitu ambavyo ni vya kukeuka misingi na sheria katika chaguzi kabla ya 2020.
Mimi naona vikao vya vyama pinzani vinavyokuja na maamuzi haya,nafananisha na SHOP TALKS.kama ni vikao vinavyofanyika kujadili na kuja na maazimio. yasio na muendelezo wa utatuzi wa Tatizo. (bila Go ahead) (NEXT),vyama vimesusia uchaguzi then what next?♂♂.
Polisi kupiga watu,mkurugenzi kutangaza CCM ushindi ,Nataka kusema kuwa uchaguzi wa udiwani haupaswi uwe mwisho wa vyama kujua nchi imefikia wapi juu ya haya yote yanayojitokeza katika chaguzi.
Kama ni polisi watakuwepo hata 2020,kama ni wakurugenzi watakuwepo hata 2020,kama ni CCM inatumia nguvu utakuwepo hata 2020, what is next?
TUME ya uchaguzi imetangaza itaendelea na uchaguzi, kipi tujifunze au hekma ya kususa uchaguzi ni ipi?,kibaya zaidi tangu Christopher Mtikila aondoke duniane na tangu tundulisu awe Nairobi kitandani,hakuna hata aliybakiwa na tamaduni ya kufuata haki mahakamani(court remidies)kupitia judicial review. tumehamisha kutafuta haki mitandaoni ♂,na kulalamika.
Ila pia uchaguzi wa majimbo unaorudiwa ulikuwa pia ni kipimo kujua kuwa sasa nchi tupo kati hali gani,na kipi sasa tupinge kuelekea 2020.
Naomba vyama pinzani vije na njia nyingine sio hii ,hii njia ya kususa ni irrational kabisa!!!
Abdul Nondo.
0659366125.