Vyama pinzani mkibarikiwa kutwaa ushindi uchaguzi mkuu mtatufanyia lipi Wananchi zaidi ya CCM?

Townchild

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,562
2,000
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.

Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa ambalo wananchi watawakubali na kusema mmeipiku CCM.

Silioni !!!
Wewe unasema wamesha fanya yote mbona unalialia hawajawanyesheavua😃
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom