Vyama pinzani hupewa ruzuku ya kampeni?

Mapfa A

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
250
251
Salamu wakuu, Samahani nilikuwa nahitaji kujua hivi vyama pinzani hupewa fedha za kufanyia kampeni? kwa sababu tarifa zinatoka zikisema kuwa baadhi ya vyama pinzani vina kabiliwa na UKATA na kuwafanya kufanya kampeni zao kwa kasi ndogo kulinganisha na vyama vingine. Naomba kujua kama kweli huwa wanapata fungu kutoka serikalini kwa ajili ya kampeni zao.Ahsante
 
Back
Top Bottom