singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Utasikia tu cuf wamerudi dakika za mwisho kwa kisingizio cha UN au nchi wafadhiliSafi sana hamad rashid makamu wa kwanza wa urais wa SUK
Utasikia tu cuf wamerudi dakika za mwisho kwa kisingizio cha UN au nchi wafadhili
Mwanaume ukiwa mnafiki kama wewe lazima utakuwa Mchawi na una genes za kike...Tangu lini wewe umekuwa UKAWA....Ndorrrrobo weCUF wakirudi katika uchaguzi sisi wafuasi wa CUF pamoja na UKAWA sijui tutakuwa katika hali gani ya huzuni au ya furaha sijui maana wengi tunaonekana kuunga mkono msimamo wa Maalim, tusubiri tuone.
[/
QUOTE]
SingidaDodoma,
Vyama hivyo washiriki uchaguzi gani ndugu yangu ilahili katika uchaguzi uliopita hawakuweza
hata kupata 1% ya kura?
Si ndiyo tuanazidi kujifedhehesha kwa dunia na kuonekana kioja?
Uchaguzi umefanywa na umemalizika salama.
CCM Zanzibar wawe waungwana wakubali kushindwa wasubiri uchaguzi
ujao.
Mwanaume ukiwa mnafiki kama wewe lazima utakuwa Mchawi na una genes za kike...Tangu lini wewe umekuwa UKAWA....Ndorrrrobo we