Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

Sisi kama ni Wabeba CCM,nyinyi CHADEMA mbona ni kipindi cha Wahuni Wanaharakati.(Chaga Development Movement Association). Hamna la maana bali mnataka kuirudisha nchi nyuma kwa kushirikiana na hao Washirika wenu wa Ulaya.Nendeni na muwaambie Tanzania iko IMARA na wenye tupo.Jihadharini msizime makaa ya moto kwa ulimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.

Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha tukose Tume huru ya uchaguzi baada ya kususia bunge la katiba halafu leo anawahadaa wananchi eti waikatae NEC.

Viongozi hao pia wamemshukia Zitto na kudai kuwa ni kiongozi mbinafsi anayetanguliza maslahi yake mbele badala ya maslahi ya taifa.

Miongoni mwa vyama vilivyozungumza kwenye mkutano huo ni pamoja na TLP, DP, CUF, UDP na NRA

Source TBC habari

Maendeleo hayana vyama!
Kama wana imani na Magufuli inakuwaje wako kwenye vyama tofauti na CCM? After all source of information ni TBCCM hakuna jipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.

Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha tukose Tume huru ya uchaguzi baada ya kususia bunge la katiba halafu leo anawahadaa wananchi eti waikatae NEC.

Viongozi hao pia wamemshukia Zitto na kudai kuwa ni kiongozi mbinafsi anayetanguliza maslahi yake mbele badala ya maslahi ya taifa.

Miongoni mwa vyama vilivyozungumza kwenye mkutano huo ni pamoja na TLP, DP, CUF, UDP na NRA

Source TBC habari

Maendeleo hayana vyama!

Vyama mavi 1% vinaongea mavi gani?

Ccm inatafuta pakutokea!
 
TBC habari
 
Kuna video ya mwenyekiti wa TLP kwenye uchaguzi s/ mitaa akilia lia kama kuna mdau anayo hebu wawekee mumuone anavyolalamika.
Sidhani kama anayo dhamira ya kweli

Sometimes smaller number speak louder than bigger one.
Better 3 than 12

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakuna chama hata kimoja hapo,naona vigenge vya kifamia tu.
 
Wasiishie kusema vyma 12 vya siasa tu bali waseme na % ya kura zao zote walizobeba uchaguzi uliopita. 1%?

Hata uchaguzi wa serikali za mitaa iliimbwa chorus hiyo hiyo lakini hatima yake CCM wakabaki Solo!

Hivi vyama havipati ruzuku ya kujiendesha, wakati wa uchaguzi ndio njia pekee ya kujipatia hela, kwa hiyo hawawezi kujitowa mapema kabla ya kupata fungu lao! Smart move.
 
Vyama 12 vya upinzani nchini vimesema vitashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu chini ya Tume ya uchaguzi iliyopo kwani wana imani nayo na pia wana imani na Rais Magufuli.

Makatibu wakuu wa vyama hivyo wakiongea na waandishi wa habari wamesema Mbowe na Chadema ni miongoni mwa waliosababisha tukose Tume huru ya uchaguzi baada ya kususia bunge la katiba halafu leo anawahadaa wananchi eti waikatae NEC.

Viongozi hao pia wamemshukia Zitto na kudai kuwa ni kiongozi mbinafsi anayetanguliza maslahi yake mbele badala ya maslahi ya taifa.

Miongoni mwa vyama vilivyozungumza kwenye mkutano huo ni pamoja na TLP, DP, CUF, UDP na NRA

Source TBC habari

Maendeleo hayana vyama!
Una akili za Maiti

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom