Vyakula vya aina 6 vinavyozeesha ngozi yako

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
vyakula.jpg
VYAKULA VYA AINA 6 VINAVYOZEESHA NGOZI YAKO..jpg

Vifuatavyo ni vyakula 6 vinavyozeesha ngozi na unashauriwa kuvitoa katika mlo wako:

1. Chumvi
Chumvi hasa yenye madini ya iodine ni mbaya sana kwa afya ya ngozi. Inasababisha chembechembe za nyama katika ngozi kuvimba.

2. Sukari
Sukari japo tunaipenda sana ni adui mkubwa wa afya ya binadamu. Inadhoofisha mfumo wa kinga za mwili. Kiasi kingi cha sukari mwilini kinafanya ngozi kuwa kavu na kufanya mwili utengeneze makunyazi kwa sababu inaharibu kemikali ya collagen na elastin ambazo zinafanya kazi ya matengenezo ya ngozi kuifanya isiharibike na kuwa chakavu.

3. Vyakula Vya Kukaangwa
Vyakula vya kukaangwa kama chipsi,nyama za kukaanga vinasababisha uingizaji wa mafuta mengi mwilini. Mafuta haya yenye vitu vinavyoitwa “Free Radicals” yanasababisha uzibaji wa vijitundu katika ngozi. Ukiachia ngozi mafuta mengi mwilini yanasababisha madhara mengi mengine yakiwemo magonjwa ya moyo na kisukari.

4. Mkate Mweupe,Tambi Na Keki
Vyakula hivi vina kemikali ya glucemic kwa kiwango kikubwa ambayo inaleta madhara ya magonjwa ya ngozi (Ugonjwa wa madoa katika ngozi)

5. Pombe
Unywaji wa pombe unasababhisha kupoteza maji mengi mwilini kwa njia ya mkojo na huleta madhara mabaya kwa ngozi kwa kuifanya iwe kavu.

6. Kahawa (Caffeine)
Kemikali ya caffeine iliyomo katika kahawa na vinywaji vingine inasababisha ukosefu wa maji ya kutosha katika ngozi na kuifanya iwe kavu. Lakini pia caffeine inasababisha utengenezwaji wa kemikali ya cortisol ambayo inachangia uzeekaji wa ngozi.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +447459370172 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Ko unashauri watu wale chakuka bila chumvi? Angalau sukari itaepukika kwa sababu haipatikani tena nchini kwa sasa.

Pili,chumvi inasaidia Sana katika ujengwaji na uimarishaji wa mifupa katika mwili,je unawashaurije watu waache kuyatumia?

NB: Hakuna chakula kisicho na side effects. Ni ishu tu ya kizitumia kwa kiwango kidogo kinachohitajika mwilini.
 
Asante mzizimkavu, ila hapo kwenye kahawa mh mtihani kwangu
 
View attachment 364729 View attachment 364730

Vifuatavyo ni vyakula 6 vinavyozeesha ngozi na unashauriwa kuvitoa katika mlo wako:

1. Chumvi
Chumvi hasa yenye madini ya iodine ni mbaya sana kwa afya ya ngozi. Inasababisha chembechembe za nyama katika ngozi kuvimba.

2. Sukari
Sukari japo tunaipenda sana ni adui mkubwa wa afya ya binadamu. Inadhoofisha mfumo wa kinga za mwili. Kiasi kingi cha sukari mwilini kinafanya ngozi kuwa kavu na kufanya mwili utengeneze makunyazi kwa sababu inaharibu kemikali ya collagen na elastin ambazo zinafanya kazi ya matengenezo ya ngozi kuifanya isiharibike na kuwa chakavu.

3. Vyakula Vya Kukaangwa
Vyakula vya kukaangwa kama chipsi,nyama za kukaanga vinasababisha uingizaji wa mafuta mengi mwilini. Mafuta haya yenye vitu vinavyoitwa “Free Radicals” yanasababisha uzibaji wa vijitundu katika ngozi. Ukiachia ngozi mafuta mengi mwilini yanasababisha madhara mengi mengine yakiwemo magonjwa ya moyo na kisukari.

4. Mkate Mweupe,Tambi Na Keki
Vyakula hivi vina kemikali ya glucemic kwa kiwango kikubwa ambayo inaleta madhara ya magonjwa ya ngozi (Ugonjwa wa madoa katika ngozi)

5. Pombe
Unywaji wa pombe unasababhisha kupoteza maji mengi mwilini kwa njia ya mkojo na huleta madhara mabaya kwa ngozi kwa kuifanya iwe kavu.

6. Kahawa (Caffeine)
Kemikali ya caffeine iliyomo katika kahawa na vinywaji vingine inasababisha ukosefu wa maji ya kutosha katika ngozi na kuifanya iwe kavu. Lakini pia caffeine inasababisha utengenezwaji wa kemikali ya cortisol ambayo inachangia uzeekaji wa ngozi.
Everything to extreme usage harm to be
 
Ni vyema ukatoa ushauri ni vyakula gani mbadala hii ingewasaidia sana watu kuliko kila siku kutoa kasoro tu
 
*OFA OFA OFA OFA*

*PEARL SOAP* ni sabuni ambayo inatatua matatizo yako ya ngozi yaliyokuwa yanakusumbua kwa muda mrefu bila kupata ufumbuzi sabuni hii ni sabuni ya asili ambayo haina kemikali imetengemezwa kwa kutumia mapango ya baharini na mafuta ya samaki pamoja na mifupa ina vitamini kwa ajili ya ngozi yako kazi ya hii sabuni ni

*KAZI YA PEARL SOAP*

*1. Inafanya ngozi yako kuwa nzuri na kuimariaha rangi ya ngozi yako.*

*2. Inaondoa madoadoa ya kwenye gozi na kufanya ngozi iwe ang'afu.*

*3. Inaondoa mafuta ya ngozi na kuifanya ngozi kuwa safi na kavu.*

*4. Inarudisha ubora wa ngoZi kwa kufufua tisu za ngozi zilizoharibiwa kwa kujichubua.*

*5. Inaondoa vitobotobo vya kwenye ngoZi na kufanya ngozi yako ipimue kwa urahis1. Inafanya ngozi yako kuwa nzuri na kuimariaha rangi ya ngozi yako.*

*6. Inatibu matatizo ya chunusi alala na kufanya ngozi yako iwe nyororo*

*7. Inazuia miale ya jua aina ya UV-radiation na kuikinga na miale ya jua kupita kwenye ngozi ya uso moja kwa moja*

*8. Inazuia maambukizia ya ngozi pamoja na kushambuliwa na bakteria au vijidudu*

*9. Inatibu kabisa matangotango na kukuacha ngozi ikiwa safi na salama*

*kama ulikua unaona aibu kutokana na ngozi yako kushambuliwa na vijidudu , madoa ya chunusi pamoja na madhara yaliyotokana na kujichubua basi mkombozi wako amewasili ni PEARL SOAP PEKEE*

Tunaposema ni ofa tunamaanisha ofa kweli ilikua inapatikana kwa tsh 7000-10000 /=

Ila kwa kuwa lengo ni kusaidia ngozi yako utaipata sabuni hii kwa tsh 5000/= Tu

Ukihitaji sabuni hii wasiliana nasi kupitia namba hizi:

0655731345
0767831345
0621083585

Matokeo ya sabuni hii ni ndani ya wiki mbili tu kwa wale waliowaijichubua kurudisha ngoZi yako wa awali na kuondoa makovu na madoadoa ni ndani ya wiki moja tu
 
Tangazo lako la Biashara haliusiani na Topic yangu hapa sipo mahali pa kutangaza biashara Mkuu samahani kwa kukukwaza . Weka Tangazo lako la biashara hapa bonyeza.https://www.jamiiforums.com/forums/jukwaa-la-biashara-na-uchumi.84/create-thread
 
Vyote sawa lakini kaka mzizi mkavu pombe umeisingizia kwasababu,kama maji,pombe mwenyewe anakuja na maji yake kutoka TBL hategemei maji ya mtu yeyote.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom