Vyakula vipi vinarudisha utelezi wa kwenye magoti(joints) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyakula vipi vinarudisha utelezi wa kwenye magoti(joints)

Discussion in 'JF Doctor' started by mchafukobe, Sep 28, 2012.

 1. mchafukobe

  mchafukobe JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  naombeni kujuzwa ni vitu gani vinavyo sababisha magoti kukosa utelezi na kutoa sauti pindi nichuchumaapo au nikiikunja miguuyangu?

  Na vilevile nahitaji kujuzwa ni vyakula aina gani nikila vitanisaidia kurudi katika hali yangu ya kawaida?
   
 2. vena

  vena JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bamia inasaidia
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,527
  Likes Received: 19,947
  Trophy Points: 280
  fanya mazoezi mara kwa mara watu wote ndio hivyo hivyo
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Mzizimkavu akipita huku atakusaidia,
  pole sana.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mara nyingi hii hali husababishwa na Puchu. Hivyo kama ni mdau, basi punguza ile makitu
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,583
  Trophy Points: 280
  Kula Makongoro kwa wingi na "kitimoto"
   
 7. P

  Pumb JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 296
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mdau inaonesha unapiga sana punyeto, hata mimi ili nitokea enzi nilipokuwa nikipiga sana punyeto, thanks God nimepunguza ( huwezi acha kabisa) na tatizo limeacha pia!
   
 8. gody

  gody JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145

  hiyo mimi niliacha kabisa tena nilikuwa nalichukia hilo tendo kutoka moyon nilikuwa nakaa had miez 2 sifanyi mpaka nikaacha kutokana na kuona utofauti wa
  mambo yetu!!
  Ila bado hilo tatzo kwangu lipo la MAGOTI
  ila swala la punyeto kuacha inawezekana kabisa!
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu mchafukobe Tumia kila siku vipande 3 vya bamia kula vibichi itakusaidia na uende hospitali ukapime ni kweli Bamia inasaidia kama alivyosema mkuu vena

  Mkuu Mamndenyi Amesha mjibu mkuu vena ila aende hospitali kupimwa kisha atumie dawa zisipomsaidia anaweza kurudi hapa kupata ushauri wa watu tumia Bamia Mkuu mchafukobe kama wiki moja kisha uje hapa utupe Feedback.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Faida ya Bamia kimatibabu............


  Chimbuko la Bamia ni katika nchi ya Abyssinia (Ethiopia) Kisha ikaenea Duniani kote.
  1. Michirizi na utonvu unaopatikana katika Bamia, husaidia kusawazisha Kisukari kwa kuzuia kiwango cha Sukari inayotumika katika mwili kutoka kwenye utumbo mkubwa.
  2. Utelezi wa bamia huchuja uchafu unaoingia katika Kolestorali (cholesterol) na asidi ya Nyongo unaoingia kutoka kwenye Ini ambao usipo dhibitiwa huenda ikasababisha matatizo ya ki-afya.
  3. Bamia husaidia kulainisha Utumbo mkubwa (large intestines) kutokana na kazi yake ya kulainisha choo.
  4. Bamia hutumika kwa kutibu vidonda vya Tumbo inasaidia kusawazisha Asidi.
  Magonjwa Maalum


  5. Bamia ukila mbichi husaiida kuondosha maumivu ya sehemu za viungo vya mwili na kulainisha viunge viwe laini.  Asidi ya Kujirudia rudia na Kufunga Choo
  Tafuna vipande sita vya Bamia bila kutumia dawa nyigine kilasiku na Asidi ya Kujirudia rudia na kufunga choo kutakwisha, inashusha Sukari kutoka 135 hadi 98  Pumu
  Bamia ina Vitamin C ambayo inawafana watoto wanaougua ugonjwa wa pumu kupumua vizuri wanapoitumia. Nusu kikombe ya Bamia iliyopikwa huwa na miligramu 13 ya vitamin C.
  Kidonda Ndugu (Cancer)
  Bamia husaidia kuweka Utumbo kuwa na hali nzuri hivyo kupunguza uwezakano wakuugua ugonjwa huu wa Kansa hasa kwenye utumbo mkubwa.
  Mishipa midogo ya Damu
  Kula Bamia kwa wingi kunasaidia kuimarisha Mishipa midogo ya Damu.
  Cataracts
  Nusu kikombe cha Bamia iliyopikwa inakua na kiwango cha 460 IU ya vitamin A.ambayo inapunguza uwezakano wa kupata ugonjwa wa mtoto wa jicho (cataracts).
  Usongo (Depression) na Kukosa Nguvu. Bamia ni mboga bora zaidi kwa wale wanaojisikia dhaifu, Kuchoka na wanao athirika na Usongo (depression).

  [​IMG]  Tahadhari kwa Wanaume musitumie hii mboga inapunguza nguvu za kiume........ Chanzo https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/319103-faida-ya-bamia-kimatibabu.html
   
 11. m

  mr transcript Member

  #11
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli bamia kiboko
   
 12. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,208
  Likes Received: 32,182
  Trophy Points: 280
  Maza angu pia anasumbuliwa na hili tatizo, sa kama chanzo ni punyeto imekaaje hii!!!!!!!!!:nono:
   
 13. kisugujira

  kisugujira JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 769
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu MziziMkavu ufafanuzi wako wa faida za Bamia umenifurahisha sana. Lakini nasikitika tahadhari uliyotupa wanaume inasikitisha sana ukizingatia siye walalahoi Bamia ndiyo mboga yetu kuu. Japo ina madhara kwa wanaume kama ulivyosema, Mungu mkubwa bado tunawajibika katika mfumo mzima wa kuongezeka duniani.
   
 14. M

  Madewa JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 350
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duuh...,naomba nicheke jamani...
  Hahahaaaaaaa...aaah!
   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  duh mkuu umenkumbusha enzi zangu nikiwa college.........
   
 16. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tafuna karanga za kutosha af drink enough water,, i assure you ndani ya masaa matatu tatizo kushney
   
 17. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tafuna karanga za kutosha af drink enough water frequently then pata mda wa kupumzika ,, i assure you ndani ya masaa matatu tatizo kushney
   
 18. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Tahadhari yako ni ya uongo!!!!
  Mikoa ya kanda ya kati wanatumia sana hii kitu, na sijakuta hata bango linalonadi mganga wa jadi anayetibu matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume. Napingana na utafiti uchwara.
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu jogi Kivyako vyako

  wewe kula tu ukitaka kula watu wana kula Kitomoto nyama ya Nguruwe na imekatazwa kwa Dini zote mbili Diini ya Kiislam na Dini ya KiKristo na mpaka hii leo wanakula

  itakuwa kula Bamia?Watu wanapiga Punyeto na punyeto ina madhara kwa binadamu itakuwa kula bamia Kula tu

  ukidhurika sisi tupo tunauza dawa za nguvu ya kiume. Waswahili wanasema Za Mwizi Siku zake ni 40 baada ya siku 40

  mwizi atakamtwa tu sasa ukitaka kutumia Bamia tumia tu kivyako kwani ukipata matatizo ndio na mimi nitadhurika? Ngojea

  mpaka waje wana sayansi wakuambie kuwa Bamia linapunguza Nguvu za kiume ndio upate kuamini mkuu Jogi kwa imani yako unayoyasema ukweli mimi ninasema uongo. asante.
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  mkuu kisugujira kama nilivyosema hapo juu kuwa Bamia linatibu kwa hayo

  maradhi niliyoyataja hapo juu lakini pia si vizuri kwa Mwanamme kulitumia sana hilo Bamia litakuletea matatizo ya

  Upungufu wa nguvu za kiume mimi zamani nilikuwa nalipenda sana lakini sasa yafika miaka 26 iliyopita

  nimesimama kulila hilo Bamia nilipoambia na Mwalimu wangu wa Tiba kuwa Bamia usipende kulila wewe ni mwanamme

  lina madhara kwako nikaliacha hilo Bamia sasa hii faida ninakupa wewe na Wanaume wengine mukiamini sawa

  musipo amini endeleeni kulila Shauri Yenu. Bamia unapolila wewe Mwanamme linakuregeza mishipa ya nguvu za

  kiume ni Zuri Bamia kula Mwanamke akila mwanamke Bamia sana linamfanya kiuno chake kiregee na makalio

  yake ya nyuma yawe yanatingishika sasa mkuu unataka na wewe makalio yako ya nyuma yawe yanatishingika

  kama Mwanamke? Samahani kama nitakukwaza Kwa ufupi Bamia halifai kwa
  Mwaname kula kila siku unaweza

  kula kwa wiki mara 1 kwa kulikaanga tu Sio tena Bamia ndio ufanye ndio chakula chako cha kila siku shauri yako Mchanga Wa Pwani Huo Mimi Simooooooooooooo WASWAHILI HUSEMA ASIYESIKIA LA MKUU...........HUFUNJIKA MGUU JE WATAKA KUVUNJIKA MGUU MKUU.........kisugujira?
   
Loading...