Vyakula vipi vinaboresha afya ya akili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyakula vipi vinaboresha afya ya akili?

Discussion in 'JF Doctor' started by GAZETI, Mar 30, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana JF, Naomba kuuliza kwenu kama kuna mtu anafahamu vyakula vinavyoboresha akili ya mtu. Nimewahi kusikia kuwa vitunguu thaumu ni moja ya vyakula hivyo lakini aliyeniambia alionyesha kutokuwa na uhakika. Kama kuna anayefahamu naomba anitajie vyakula hivyo na utaratibu wa matumizi yake.
   
 2. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  unaujua ubani mweupe chukua punje tatu au nne za ubani mweupe chuku glass weka maji safi tia punje tatu au nne za ubani roweka kuanzia usiku paka asubuhi kunya hayo maji ni dawa ya ubongo kwa mtu mwenye tabia ya kusahau sahau
   
 3. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  njia nyengine unachemsha ubani maji yakipoa unakunywa inasaidia sana ni dawa kubwa ya ubongo
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  nilisoma sehemu ndizi mbivu (zisiwe zimekaa kwenye friji) ukipendelea kula mara kwa mara zinaongeza uwezo wa kumbukumbu.
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Naomba niongezee hapa kwamba nikifanya mazoezi nakuwa na uwezo mkubwa wa kukumbuka na kuhifadhi mambo, Kipimo changu hasa kinakuwa kwenye namba za simu huwa ninaweza kuhifadhi namba nyingi zaidi kichwani bila matatizo tatizo ni pale ninapoacha mazoezi ile hali hupotea, hivyo naomba msaada zaidi kwa mambo mengine licha ya vyakula ambayo yanaweza kuboresha Afya ya akili.
   
 6. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Jamani samahani kuuliza sio ujinga, hivi Ndizi mbivu ndo ndizi zipi? mbichi ambazo hazijakomaa au zilizokomaa (Iva)? kwa muda mrefu nimekuwa sielewi maana yake
   
 7. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unaweza kweli kunya maji?
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Asali vijiko viwili vya chakula, Lozi (badam)za kusaga vijiko viwili, maziwa fresh ya ng'ombe glass moja. Changanya hivyo vitu pamoja, kunywa kila siku kabla ya kulala.

  Baada ya siku 40 utamshinda Rostam Aziz (the most intelligent person in Tanzania) kwa akili.
   
 9. D

  Deo bony Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Majani ya kunde huwa yanasifika kwa kuwa na kiwango kikubwa cha provitamin na kama tunavofaham provitamin ni precusor of vitamins mostly vitamin A. So kwakutumia hayo majan ya kunde unaongeza activeness ya brain.vile vile kwa mwenye tatizo ka lako anashauriwa kunywa mchuzi wa nanasi changa.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ni ndizi zilizoiva.
  Nitakubandikia picha yake b'dae uione.
   
 11. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Majani ya kunde yaliyopikwa au hata mabichi?
   
 12. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  All Vitamin B Sources.
   
 13. j

  jruru80 Senior Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngano...asili lakn sio Azam.ndio maana waisraeli wana akili sana kwa kuwa wanakula sana ngano..
   
 14. Mr. Miela

  Mr. Miela JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 242
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  unaishi pande zipi usiyejua ndizi mbivu? au watokea pande za kalahari?
   
 15. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kula blue berry au matunda yoyote ya jamii ya berry...
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
 17. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,978
  Likes Received: 6,621
  Trophy Points: 280
  utakumbuka kweli?mimi nahofia kukwambia kwa sababu najua utayasahau hapahapa.
  unakumbuka nimekuambia nini?
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,562
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Duuh! sijawa msahaulifu kiasi hicho. Ninachotaka ni kuboresha tu uwezo wa akili na kuifahamu aina ya vyakula.
   
 19. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Ndizi mbivu ni namba 1, nimeisoma mara nyingi hii, ulizia mikoa 3 ya wala ndizi ingawa sina uhakika kama ile inayoanzia na K huwa wanatumia sana ndizi mbivu, kwa ule unaonzia M....aaa brain ziko safi
   
 20. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Nimepata kusikia kwamba Samaki wa Ziwa Victoria, wanasaidia Bongo kufanya kazi vyema
   
Loading...