Vyakula vinavyotibu cancer vipo kwenye vitabu vya Dr' Sebi

Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.

Mi nilidhani hajafa kisa hajala sumu, nyie watu emu acheni ujinga hivi aliyeumba chakula hakuwa na uelewa kuliko huyo mzushi? Kifo kipo tu kimeshawekwa basi kila nafsi itaonja, kwani nisipokufa kwa kansa ndio itakuwa sifi tena? Tusichoshane
 
Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.

Pamoja kufuatilia kote hayo mamsosi na bado akafa!? Akili mukichwa
 
Katika vitu namshukuru sana mama yangu na mshua, japo mshua alikua miyeyusho kwenye mambo mengine, ni masuala mazima ya afya. Sijawahi kuwasikia hawa wazee wakilalamika kabisa magonjwa mpaka uzee wao kwa kufuata hizi taratibu

Nakumbuka mwaka 2001 ndipo formula mpya home za ulaji zilichukua ukurasa. Japo, sifuati exactly kama wao kutokana pia na changamoto za kimaisha lakini angalau nina mambo mengi aidha naacha au nauhuisha mwili wangu kwa kufuata kanuni hizo.

Kuna mzee pia anaitwa Fredrick Macha - huyu ni mtanzania anaishi London. Ana mambo mengi sana yenye kufundisha kwa masuala mazima ya afya na mazoezi. Ni vile tu watz tubapenda kufuatilia upuuzi na mambo yenye kupumbaza fikra. Youtube channel yake anaweka mambo ya maana sana na yenye kufaa lakini hakuna watazamaji. Na ninachompenda si mchoyo na haoni tabu kutoa muda wake kuelekeza jambo kama ukiweza kumuandikia. Mimi huwasiliana sana kwa WhatsApp na nikapata kumuuliza chungu nzima ya maswali.
 
Ni muimbaji pia, huwa ninamuona kwenye shughuli za ubalozini. Nitaanza kumfuatilia.
 
Kuna video za Dr Sebi alisema starch + protein ni sumu kubwa mwilini. Hivyo ukipikiwa wali wa nazi na nyama ya ng'ombe au ugali nyama choma ni kaburi hilo.
My favourite food ni nyama choma nusu kilo yenye maftafta na ugali na sukuma wiki plus kachumbari. Nikitoka hapo niletee juice inayoitwa castle lite ya briid kuanzia 16 had 27. Mhudumu awe anavutia
 
Ni muimbaji pia, huwa ninamuona kwenye shughuli za ubalozini. Nitaanza kumfuatilia.
Ewaaa, hujakosea!

Ni ana fani nyingi: martial artist, musician, masseur, health enthusiast, educationalist na mtaalam wa masuala ya ushairi na uandishi pia. Amenifunza mengi sana huyu mzee kijana. Yupo fit sana kuzidi vijana.
 
Dr sebi list
Sebi-nutritional-guide.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom