Vyakula vinavyotibu cancer vipo kwenye vitabu vya Dr' Sebi

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,450
2,000
Alizaliwa Horrendous, sasa hivi ni marehemu, vyakula vyake vingi ni hivi tunavyoviona kila siku, kwa mfano nyanya anazo zikubali ni zile nyanya ndogo ndogo sana, asali mbichi, nk.
Yote hayo ni kujihangaisha tu.

Yeye huyo dr mbagua vyakula, aliishi miaka mingapi?

Kama mwili wangu ukiugua, basi nitafuata masharti ya mlo yatakayotolewa kitabibu.

Vinginevyo ni kujipatia stress zisizo na ulazima wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
6,393
2,000
Ndio mana walimsumbua hadi kumfunga na hatimaye alifariki, wazungu wanajua kua hawataki mfahamu haya mambo wao wanataka muendelee kunywa ma hennesy, ma wisky na mapombe huku mkijazia na machipsi maburger, ma kuku wa kfc, yani mle tu ndio mupate hayo makansa na makisukari mshindwe kutibu muanze madozi ya mionzi na upuuzi mwingine ili muzidi kujimaliza but ukweli ndio huu kwamba haya mavyakula ndio maugonjwa yenyewe na dr sebi aligundua hayo yote na nashukur Mungu nimeshtuka mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakula chakula aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
3,108
2,000
Mada nzuri sana,
Nyama ikibanikwa halafu ikapikwa inakuwa haina madhara,pia kuna wagonjwa wanashauriwa kuloweka mchele kisha unapikwa kuondoa madhara...lakini swala la kuacha kula mpunga ni gumu sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom