kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 8,371
- 10,010
Mlishe mama nganoHabari,
mke wangu ni mjamzito wa miezi mitatu sasa, naomba kujua jinsi ya kumfanya azae mtoto mwenye akili sana, kwan najua wahindi wana utamaduni wao wanafanyaga kuongeza uwezo wa akili ya mtoto kuanzia ktk hatua za ujauzito,
Ni nini kinatakiwa kufanywa katika hatua gan,
Naomba kujulishwa,
Naomba waliokuwa wastarabu zaidi wajibu, wale wanadhihaki wanyamaze tafadhali.