Vyakula vinavyobaki kwenye mighahawa huwa vinapelekwa wapi?

mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,564
6,403
Heshima kwenu wakuu.

Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, naomba kujua vile vyakula vinavyobaki baada ya mauzo ya siku kule kwenye mahoteli, migahawa na mama lishe huwa vinaenda wapi?
Msaada kwa anaejua maana nina wasiwasi huwa tunalishwa viporo.
 
Ukiwahi hotelini ule mda wa lunch jle msosi wa kwanza kwanza kupangwa pale mezani ndo huo
 
Wewe Kula Tu Kuna Vitu Unakula Ni Hatari Zaidi Ya Kiporo Mimi Kwangu Asubuhi Lazima Niandaliwe Kiporo Cha Wali Na Maharage Na Chai Ya Maziwa Najisikia Raha Sana Ila Ni Mazoea Wengne Wakila Kiporo Anaugua Kilibatumbo Aka Unyafuzi Kiporo Niachieni Mimi Tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom