Hapo nimejibu kulingana na uzoefu wa sehemu niliyopo.Unamaanisha wanaouza chakula zanzibar na nchi zingine za kiislamu iko chakula kinaliwa na nani kama hawafugi nguruwe?
Ukiwahi hotelini ule mda wa lunch jle msosi wa kwanza kwanza kupangwa pale mezani ndo huoHeshima kwenu wakuu.
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, naomba kujua vile vyakula vinavyobaki baada ya mauzo ya siku kule kwenye mahoteli, migahawa na mama lishe huwa vinaenda wapi?
Msaada kwa anaejua maana nina wasiwasi huwa tunalishwa viporo.
Mara chache mno...nikigundua ni kiporo nakiacha palepale naondoka zanguMkuu ushakila kiporo ? Unaweza kukigundua kweli, ili kama kuna njia ya kukjigundua basi me siku nikijua nile bila kulipa