Vyakula gani unapenda kula na vyakula gani unavikosa kutokana na mazingira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyakula gani unapenda kula na vyakula gani unavikosa kutokana na mazingira

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mshume Kiyate, Jun 17, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wana Jf,
  Mimi binafsi nakula mara mbili kwa siku asubuhi nakunywa uji wa Ulezi na Viazi au Mihogo, usiku napenda sana Ugali wa Muhogo na Samaki Kolekole, na chakula nachokimiss ni supu za Sangara..endeleza na wewe mkuu
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Nawamis sana dagaa wabichi wa ziwa Viktoria
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mimi napenda sana katles za samaki pono, Hahahahaha
   
Loading...