Vyakula 10 vyenye tindikali (acid)

Mkuu Mbaga jr, chair fire hafai kuliwa wataalamu wanasema kuwa ukizoea sana kula nyama ya chair fire kuna hatari kubwa ya mtu kugeuka shoga kwa sababu katika wanyama wanaofanya ushoga ni jamii ya nyani na chair fire na kama utakumbuka au unajua wataalamu wa lishe wanasema "we/you are what we/you eat".

Ukiangalia historia ya mashoga wengi utakuta walianza kula chair fire toka wakingali wadogo hadi ukubwani wanaendelea kula.

Chair fire ni "sumu" yenye uhai.
Chair fire ni nini mkuu????
 
Unapaswa kuvijua ili upunguze matumizi yake kila siku kwa kuepuka kwa kinga zako kudhofika na kupungua, kuongeza sumu kwenye mwili na kinga zako, kudhofisha viungo mbalimbali na kupelekea saratani pamoja na kufail kwa viungo mbalimbali vya mwili kama vile ini na figo.

1. Maji ya kunywa ya viwandani mengi pH zake zipo.kati ya 6 badala ya 7 (natural)

2. Nyama nyekundu e.g Ng'ombe

3. Maharagwe

4. Sukari e.g Miwa

5.Mafuta ya kupikia e.g Pamba

6. Mahindi makavu

7. Soda

8. Maziwa e.g Ng'ombe

9. Pombe

10. Vyakula vya ngano e.g MikateView attachment 868475
Ndo hautakufwa?
 
kwahy me na familia yangu wote mashoga..? mana hcho ndo kifungua kinywa cha kila siku.


Mkuu Mbaga, naomba unielewe mimi sijakuita shoga ila nadhani taarifa niliyokupa labda ulikuwa huifahamu, ni kwamba nyama ya chair fire (kiti moto) ina athari mbaya katika mwili wa binadamu, na athari zinaweza kutokea papo kwa papo pindi mtu anapotumia hiyo nyama mfano wengine hutokwa na mapele muda mfupi tu baada ya kula na kuna baadhi ya watu wengine athari zake zinatokea baada ya muda mrefu sana ambazo ndiyo mbaya sana kwa sababu hadi mtu agundue kuwa hizo athari zimetokana na kula nyama ya chair fire itakuwa "too late" au asijue kabisa.

Kiti moto (chair fire) ni "omnivorous" yaani anakula vitu vingi kama alivyo mtu, wanasayansi wanasema "you are what you eat" yaani mwili wako upo kulingana na vyakula ulavyo, hivyo basi mwili wa chair fire unafanana kwa kiasi kikubwa na mwili wa binadamu katika "metabolism" na ndiyo maana macho na baadhi ya viuongo vya chair fire kama ini,kongosho,moyo nk, vinatumika kama mbadala wa viungo vya binadamu katika tiba na tafiti zsidi zinaendelea kufanyika juu ya viungo vingine vya nguruwe, hivyo unapokula nyama ya (chair fire) maana yake ni kama unakula nyama "iliyofanana sana" au iliyokuwa "karibu sana" na nyama ya mtu "human flesh", naomba unisamehe kama kwa kauli hiyo nitakuwa nimegusa hisia zako (your sensibilities).Na huwezi kula nyama ya mtu ukawa salama kiafya na kihulka.

Chair fire anao mfumo dhaifu mno wa uyeyushaji chakula tumboni mwake "poor digestion" hivyo vyakula anavyokula hukaa kwa muda mrefu tumboni na hivyo kuzalisha sumu (toxin) ambayo baadaye hufyonzwa na na kubadilishwa na kwenda kuhifadhiwa kwenye mafuta yake, hivyo mafuta ya chair fire yana toxin nyingi kuliko mafuta ya mnyama yeyote na hivyo ukila nyama yake unachochea mwili wako kuwa na free radicals nyingi na hivyo kuwa rahisi kupata magonjwa ya kansa.

Ukichukua chair fire mwenye njaa na kumuweka katika chumba cha watoto wake, atawala wote kitendo ambacho hakiwezi kufanywa na mnyama yeyote duniani dhidi ya watoto wake.

Ukiwaweka madume ya chair fire pamoja bila jike hata kwa muda mfupi yataanza ushoga mara moja tabia ambayo katika wanyama ni jamii ya nyani tu ndiyo hufanya lakini huipati kwa wanyama wengine.

Kifupi ni mnyama unaweza kumwita kama "the moving toxin"
 
Huyu msabato anatuandaa kisaikolojia hakawii kututajia dawa inayouzwa 300,000
 
Mkuu Mbaga, naomba unielewe mimi sijakuita shoga ila nadhani taarifa niliyokupa labda ulikuwa huifahamu, ni kwamba nyama ya chair fire (kiti moto) ina athari mbaya katika mwili wa binadamu, na athari zinaweza kutokea papo kwa papo pindi mtu anapotumia hiyo nyama mfano wengine hutokwa na mapele muda mfupi tu baada ya kula na kuna baadhi ya watu wengine athari zake zinatokea baada ya muda mrefu sana ambazo ndiyo mbaya sana kwa sababu hadi mtu agundue kuwa hizo athari zimetokana na kula nyama ya chair fire itakuwa "too late" au asijue kabisa.

Kiti moto (chair fire) ni "omnivorous" yaani anakula vitu vingi kama alivyo mtu, wanasayansi wanasema "you are what you eat" yaani mwili wako upo kulingana na vyakula ulavyo, hivyo basi mwili wa chair fire unafanana kwa kiasi kikubwa na mwili wa binadamu katika "metabolism" na ndiyo maana macho na baadhi ya viuongo vya chair fire
kwa hizi notice za capitalism(history two) ulizonipa, ngoja niwe mpole tuu
 
1.Walisema sembe mbaya tule dona. Sasa wanasema dona inaleta cancer

2.Majani ya chain tusimuie kabisa

3.Chumvi ni mbaya sana tuache

4.Sukari ni hatari tutumie asali
5. Wali unaleta obesity
6. Ngano tule isiyokobolewa,,hii ni simu
7.mboga mboga tule mbichi tupate afya

Yani watatufanya tuwe machizi. Kuna watu vijijin huko wanakula natural mpaka ila wanaugua kila Leo. Mtuacheeeeeee
 
Mkuu niache kula maharagwe, niache kula miwa, niache kunywa maziwa kwel Hadi mahindi duuh , Sasa kwa haya maisha tule nn Sasa, hebu let's prove mkuu
 
2. Nyama nyekundu e.g Ng'ombe

3. Maharagwe

4. Sukari e.g Miwa

5.Mafuta ya kupikia e.g Pamba

6. Mahindi makavu

8. Maziwa e.g Ng'ombe (Hasa mtindi)
Hivi huwa navishindilia hasa...mfano nachanganya maharagwe na mtindi kwa pamoja na kusindikiza na ugali huku nikipoza na maji nusu lita. Sasa nipunguzi nile nini?
Nikilejea hiyo ya matunda asubuhi. Hivi, kweli nishindilie, matunda hayo...nikapambane na Calculus na deep machine learning kutoka hapo 'nikabebe box' si najitafutia balaa.
 
mara ugali mara wali mara nyama mara mayai wakati zamani mlitufundisha mayai ni protein sa hv mnakataa sijui yana madhara..kila kukicha hiki sio hiki blahblah.....bora kula tuuu
The good thing about science is whether is true or not you have to believe it

Hahhaahha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom