Kwa hiyo tufanyeje mkuu au tusile kabisa kwani kila kitu kimekua sumu kwa sasaHawa wauza madawa wame fanya kila kitu kuwa kibaya!! Na sumu
Hizi ni nyakati ambazo matumizi yako ya akili yanatakiwa yawe juu kuliko nyakati zote.....Kwa hiyo tufanyeje mkuu au tusile kabisa kwani kila kitu kimekua sumu kwa sasa
kweli kabisa mkuuHizi ni nyakati ambazo matumizi yako ya akili yanatakiwa yawe juu kuliko nyakati zote.....
Usipotumia akili yako vyema watu wenye kutumia akili zao watakutumia kufanikisha malengo yao!!!....
vp khs chair fire ?
Hasa hapo namba 9, wanataka kuniudhi sasa!!!tumechoka na vitisho vyenu sasa kila kitu tatizo tu haraaaa!!
msiishi.kwa woga kupitiliza,
hahahaa! pombe ndo kipoza roho, nisipokunywa maana yake nini sasa!Hasa hapo namba 9, wanataka kuniudhi sasa!!!
hahahhahhah, nilishasikia wanasema eti hata mayai ya kienyeji yanaleta homa ya matumbo/taifodi. hahahahahahhahahaa! pombe ndo kipoza roho, nisipokunywa maana yake nini sasa!
ukiwafuata sana hawa wapuuzi hutakula chochote coz kila kitu utaambiwa ni sumu kali sana! suprise enough wao wanakula yaleyale.hahahhahhah, nilishasikia wanasema eti hata mayai ya kienyeji yanaleta homa ya matumbo/taifodi. hahahahahah
Tena hawali vikiwa "fureshi" kama sisiukiwafuata sana hawa wapuuzi hutakula chochote coz kila kitu utaambiwa ni sumu kali sana! suprise enough wao wanakula yaleyale.
kula maisha kufa kwaja tunaishi mara moja.Tena hawali vikiwa "fureshi" kama sisi
hureee, umenitia hamu ya kupata hiyo kitukula maisha kufa kwaja tunaishi mara moja.
kila kitu kinahitaji kifanywe kwa kiasi.
hizi makitu ni noma saana! zinaamsha akili na kunifanya niwe totally refreshed, halafu iwe sehemu fulani yenye utulivuuu!hureee, umenitia hamu ya kupata hiyo kitu
tushinde tu na njaa hamna namna kwa kweliNi Mungu tu atusaidie maana kila tunachokula na kunywa tunaambiwa ni sumu, tufanyeje?
Usiogope sana mkuu basi na wewe vuka barabara huku umefunga macho....Basi usitumie Kondomu kujikinga na ukimwi, HIV na maradhi mengine kwa sababu kama kufa kupo tu
kwahy me na familia yangu wote mashoga..? mana hcho ndo kifungua kinywa cha kila siku.Mkuu Mbaga jr, chair fire hafai kuliwa wataalamu wanasema kuwa ukizoea sana kula nyama ya chair fire kuna hatari kubwa ya mtu kugeuka shoga kwa sababu katika wanyama wanaofanya ushoga ni jamii ya nyani na chair fire na kama utakumbuka au unajua wataalamu wa lishe wanasema "we/you are what we/you eat".
Ukiangalia historia ya mashoga wengi utakuta walianza kula chair fire toka wakingali wadogo hadi ukubwani wanaendelea kula.
Chair fire ni "sumu" yenye uhai.