Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Uliuzaga match mamiiii?Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza
Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa
Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea
Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona
Kuwa makini