VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,231
2,000
Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza

Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa

Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea

Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona

Kuwa makini
Uliuzaga match mamiiii?
 
Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,945
2,000
Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza

Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa

Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea

Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona

Kuwa makini
Kwahiyo ulivokuwa chuo ulishaanza ngono. Afu hukutumia kondom...

Leo ukirudi nyumbani nakucharaza bakora makalioni.
 
yambuna

Member
Feb 23, 2018
91
125
Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza

Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa

Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea

Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona

Kuwa makini
Asante joanah....
 
masupio

Senior Member
Sep 16, 2014
177
250
Dalili ulizozitaja ni za mtu mwenye maambukizi; Kipimo ulichotumia ni rapid test na mara nyingi kinashindwa kuona virus hasa pale immunity ya mwili inapoanza kupambana na virus na kufanya virus kujificha kwenye DNA.

Ni vizuri ukaomba hospital wakupime kipimo kikubwa cha HIV. Na kama ukikutwa na maambukizi siyo mwisho wa maisha; anza dawa mapema nchini bado inakuhitaji kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda. Na ikitokea umekoswa koswa bob usirudie ufala wa kujilipua. All the best
 
mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,170
2,000
Kwanini unapiga live band halafu uogope ukimwi, ila kipimo kinaonyesha ni kama huna hiv
 
MKUYENGE

JF-Expert Member
Jun 26, 2019
4,123
2,000
Mi huwa naamini akili inahusiana kwa asilimia kubwa sana na mwili...yani vile akili inawaza una jambo fulani ndio na mwili unarespond kwa unachowaza

Kipindi nipo chuo nilishawahi kuhisi nina mimba,na nikawa na uhakika ninayo kweli mana dalili nilikuwa nazo lakini kupima naogopa

Ajabu nilivyopima kipimo kikaonesha sina....na dalili zote zikapotea

Kama umepima kweli na ikaonesha huna HIV,ni suala la akili yako kuamini unachokiona

Kuwa makini
Hakika umenena vyema mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom