Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
Huenda asiwe Ruto lakini sio Raila,ingawa Ruto alikua kwa nafasi nzuri ila anapigwa Vita kwa kila hali wamemuekea kila kashifa Sasa anaonekana kana kwamba yeye ndio baba wa ufisadi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app