Vuta nikuvute ya Rais Uhuru Kenyatta, Ruto yafikia pabaya

We umeona ni Kama amesema uongo? Kama sio Ruto Raila hangekua waziri mkuu.
Ruto ni huwa ana akili sana,but sometime anakuwaga mjinga eti anasema yeye ndio alimsaidia raila kuwa P.M bull shit.

Siasa za kenya msingi wake ni watu 2 baba yake uhuru na baba yake raila,hata akina moi na kibaki wamepata uongozi kutokana na kutaelewana kwa hao wazee 2.

Bahati mbaya sana bado watoto wa wazee hao (raila na uhuru) ndio msingi wa siasa za kenya.ni rahisi kwa raila odinga kuwa next president wa kenya kuliko ruto.
Ruto inabidi achange karata zake vizuri-ajue fika hii ni siasa asipokaa vizuri yanaweza yakamkuta ya gorge saototi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You nailed it all, salute!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlitaka Lowassa abaki peke yake. Ruto akaamini Uhuru awe Rais ili baadae Uhuru amsapoti Rutto.
Odinga atakuwa Rais 2022.
 
Kwa vyovyote vile inavyoonekana katika siasa za Kenya, Ruto ndio determinant factor ya kuupata urais. Ruto ni kama maji, usipoyaoga basi utayanywa.

Binafsi sioni namna yoyote kisiasa wanaweza kumzuia Ruto asiwe rais wa Kenya lakini pia sioni namna yoyote Ruto anaweza kuwa rais wa Kenya ajaye! Ni fumbo.

Ombi langu kwa Ruto tu hapa, ninamshauri awe makini. Lolote ovu linaweza kumkuta.
 
Yupo makini sana

Yupo ngangari

Ruto sio determinant ila kabila lake huko eneo la Rift Valley ndio determinant.

Kama Raila akiweza kupata support ya Uhuru itakuwa tayari ana kura million karibu 4 za LUO+GIKUYU

challenge itakuja kumvuta Gideon Moi upande wake ili kupunguza kura za Rift valley.

Hapo akiwa ensured pia kura za coast basi mchezo utaisha mapema.

All in all kosa kubwa alilofanya Odinga 2013 ni kuzipuuza kura za Rift valley na kuziacha ziende kwa uhuru..... Ndio ilikua kaburi lake
 
Mkuu unasahau block za Kikabila si mbili tu. Kuna kikuyu, Luhya, Kalenjin, Luo na kamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unasahau block za Kikabila si mbili tu. Kuna kikuyu, Luhya, Kalenjin, Luo na kamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Luo Luhya Kamba na Coast zilizaa kura million 6 ila Kalenjin + Gikuyu zilizaa zaidi ya 7 million ssa mpaka hapo unaweza ona Odinga alihitaji kura angalau nusu za Kalenjin angeshinda kwa mbali sana.

Ndio hapo Gideon Moi anapohusika...... Ssa akiweza bakiza allies wake wa 2017 akijumlisha na uhuru na huyo Gideon kama mgombea mwenza trust me Ruto hatoambulia kitu
 
Uhuru ndiye atakaye chagua atakaye mrithi,anaweza akataka kurudisha fadhila kwa raila kwa jinsi ambavyo baba yake oginga alimsaidia kumto jela baba yake uhuru.
Ruto and odinga are not good for Kenya you will suffer nusu mkate stay away for
 
Back
Top Bottom