Vuta nikuvute Kati ya Steven Wassira na Ester Bulayaa: Mmoja atishia kujitoa CCM!

Haya tena sasa PIGO KUBWA KWA CHAMA CHA MiAPINDUZI NA UVCCM. Ni pigo jingine kubwa kwa chama cha mapinduzi na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)baada ya lile la kujiengua kwa makada wao maarufu James Milya , Ally Bananga,Diwani Maarufu Alphonce Mawazo . Sasa pigo hilo limekuwa la kuumiza zaidi baada ya kiongozi maarufu na kada maarufu wa chama hicho Easter Bulaya kutangaza nia ya kujiengua katika chama hicho baada ya kupata mizengwe mingi kutoka kwa kiongozi wa chama na mbunge wa Bunda steven Wassira. Kwa takriban mwaka mzima sasa wawili hao wamekua katika mgogoro mkubwa wa kimaslahi kiasi cha Mh. Easter Bulaya kutaka kujiengua ndani ya chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari leo jioni Easter alikiri kuwepo kwa mgogoro mkubwa kati yake na Steven Wassira baada ya kusema kuwa Wassira anaogopa kutoka madarakani kwa kuwa anajua Easter yuko tayari kulichukua jimbo hilo la Bunda. Pia alisema wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji, pia matumizi mabaya ya fedha za umma ambapo ametumia takriban Mil 27 kupaka rangi tu katika hospitali ya DDH ya wilayani bunda. Pia Easter aliendelea kusema kuwa fedha zilizotolewa kama msaada kutoka benki ya dunia kwa ujenzi wa shule ya Bunda hazijulikani zilipo.

Easter aliendelea kusema hayo ni machache tu ila kwa leo ameweka wazi nia yake ya kujiengua na chama hicho bila kushurutishwa na mtu yeyote

Nawashauri CDM,Bunda = Ester Wasira PERIOD
 
Haya tena sasa PIGO KUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI NA UVCCM. Ni pigo jingine kubwa kwa chama cha mapinduzi na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)baada ya lile la kujiengua kwa makada wao maarufu James Milya , Ally Bananga,Diwani Maarufu Alphonce Mawazo . Sasa pigo hilo limekuwa la kuumiza zaidi baada ya kiongozi maarufu na kada maarufu wa chama hicho Easter Bulaya kutangaza nia ya kujiengua katika chama hicho baada ya kupata mizengwe mingi kutoka kwa kiongozi wa chama na mbunge wa Bunda steven Wassira. Kwa takriban mwaka mzima sasa wawili hao wamekua katika mgogoro mkubwa wa kimaslahi kiasi cha Mh. Easter Bulaya kutaka kujiengua ndani ya chama hicho. Akiongea na waandishi wa habari leo jioni Easter alikiri kuwepo kwa mgogoro mkubwa kati yake na Steven Wassira baada ya kusema kuwa Wassira anaogopa kutoka madarakani kwa kuwa anajua Easter yuko tayari kulichukua jimbo hilo la Bunda. Pia alisema wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji, pia matumizi mabaya ya fedha za umma ambapo ametumia takriban Mil 27 kupaka rangi tu katika hospitali ya DDH ya wilayani bunda. Pia Easter aliendelea kusema kuwa fedha zilizotolewa kama msaada kutoka benki ya dunia kwa ujenzi wa shule ya Bunda hazijulikani zilipo. Easter aliendelea kusema hayo ni machache tu ila kwa leo ameweka wazi nia yake ya kujiengua na chama hicho bila kushurutishwa na mtu yeyote
Aje huku magwanda kuna pumziko la milile dk wa ukweli tiba tosha kwa wasumbukao
 
Haya tena sasa PIGO KUBWA KWA CHAMA CHA MiAPINDUZI NA UVCCM. Ni pigo jingine kubwa kwa chama cha mapinduzi na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)baada ya lile la kujiengua kwa makada wao maarufu James Milya , Ally Bananga,Diwani Maarufu Alphonce Mawazo . Sasa pigo hilo limekuwa la kuumiza zaidi baada ya kiongozi maarufu na kada maarufu wa chama hicho Easter Bulaya kutangaza nia ya kujiengua katika chama hicho baada ya kupata mizengwe mingi kutoka kwa kiongozi wa chama na mbunge wa Bunda steven Wassira. Kwa takriban mwaka mzima sasa wawili hao wamekua katika mgogoro mkubwa wa kimaslahi kiasi cha Mh. Easter Bulaya kutaka kujiengua ndani ya chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari leo jioni Easter alikiri kuwepo kwa mgogoro mkubwa kati yake na Steven Wassira baada ya kusema kuwa Wassira anaogopa kutoka madarakani kwa kuwa anajua Easter yuko tayari kulichukua jimbo hilo la Bunda. Pia alisema wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji, pia matumizi mabaya ya fedha za umma ambapo ametumia takriban Mil 27 kupaka rangi tu katika hospitali ya DDH ya wilayani bunda. Pia Easter aliendelea kusema kuwa fedha zilizotolewa kama msaada kutoka benki ya dunia kwa ujenzi wa shule ya Bunda hazijulikani zilipo.

Easter aliendelea kusema hayo ni machache tu ila kwa leo ameweka wazi nia yake ya kujiengua na chama hicho bila kushurutishwa na mtu yeyote

Nawashauri CDM,Bunda = Ester Wasira PERIOD
 
Hawa ndiyo wale wanaoitwa na JK wenye ndimi mbili...CDM mwangalieni sana huyu isije ikawa keshagundua kuwa huko Bunda CCM hakina chake so hiyo ndogondogo ni kuweka mguu moja ndani mwingine nje kuangalia upepo. Watu kama hawa ni hatari sana hawakawii kulia hadharani kuaminisha jamii kuwa wanaonewa hata kama sivyo ilimradi tu wapate kile wanachokitafuta kwa faida binafsi...Siangeenda kwenye vikao vyao vya chama? Na kama huko amekwama kwanini kupiga mayowe si angaitisha conference ya kutoa taarifa juu ya maamuzi yake? Huyo anaka harufu ka u-opportunist na hapo ana raise tu alarm kuona huruma itatokea upande upi!
 
Esther bulaya, Esther Wasira.. combination nzuri ya kizazi kipya, kama bulaya ataingia cdm akaamua kwa dhati kushirikiana na e.wasira kukitumikia chama kwa angalau kuanzia mkoani kwao ninaamini bila shaka wanaweza kuitikisa ccm vibaya sana
 
Esther Wasira (Mtoto wa Wasira) na Esther Bulaya wa CCM ndio tegemeo za harakati za Ukombozi mkoani Mara..Harakati kwa maana hiyo haijaanza bado..CDM inapenda majina, inasubiri viongozi wadondoke kwenye mti kama Parachichi waokote, mengine yameoza hayaliwi?
 
Hizo ni porojo, hana lolote, anapima geji, Ester Wasira naye aende wapi wakati ndio tumaini jipya la wana Bunda.
 
Majungu hayo ataenda wapi? Ccm ndicho kimemjenga na kumpatia nguvu alizo nazo kwani hao akina mawazo wako wapi si ndio kwisha yao cdm ina wenye hati miliki nyinyi wengine ni wachoma mkaa tu.

Ni kweli CCM kina WENYEWE (mafisadi) wasiozidi 50. Yuko wapi leo hii Ngawaiya? Yuko wapi leo hii Tambwe Hizza, wametumiwa kama karatasi za kumekea kamasi, wakaachwa.
 
Haya tena sasa PIGO KUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI NA UVCCM. Ni pigo jingine kubwa kwa chama cha mapinduzi na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)baada ya lile la kujiengua kwa makada wao maarufu James Milya , Ally Bananga,Diwani Maarufu Alphonce Mawazo . Sasa pigo hilo limekuwa la kuumiza zaidi baada ya kiongozi maarufu na kada maarufu wa chama hicho Easter Bulaya kutangaza nia ya kujiengua katika chama hicho baada ya kupata mizengwe mingi kutoka kwa kiongozi wa chama na mbunge wa Bunda steven Wassira. Kwa takriban mwaka mzima sasa wawili hao wamekua katika mgogoro mkubwa wa kimaslahi kiasi cha Mh. Easter Bulaya kutaka kujiengua ndani ya chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari leo jioni Easter alikiri kuwepo kwa mgogoro mkubwa kati yake na Steven Wassira baada ya kusema kuwa Wassira anaogopa kutoka madarakani kwa kuwa anajua Easter yuko tayari kulichukua jimbo hilo la Bunda. Pia alisema wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji, pia matumizi mabaya ya fedha za umma ambapo ametumia takriban Mil 27 kupaka rangi tu katika hospitali ya DDH ya wilayani bunda. Pia Easter aliendelea kusema kuwa fedha zilizotolewa kama msaada kutoka benki ya dunia kwa ujenzi wa shule ya Bunda hazijulikani zilipo.

Easter aliendelea kusema hayo ni machache tu ila kwa leo ameweka wazi nia yake ya kujiengua na chama hicho bila kushurutishwa na mtu yeyote

images

Ni upepo unaovuma kwa muda utatulia wenyewe
 
Esther Wasira (Mtoto wa Wasira) na Esther Bulaya wa CCM ndio tegemeo za harakati za Ukombozi mkoani Mara..Harakati kwa maana hiyo haijaanza bado..CDM inapenda majina, inasubiri viongozi wadondoke kwenye mti kama Parachichi waokote, mengine yameoza hayaliwi?
Proven costly endeavor.
 
Back
Top Bottom