Vuta nikuvute Kati ya Steven Wassira na Ester Bulayaa: Mmoja atishia kujitoa CCM!

Mimi namfahamu zaidi yako. Kabla hajaenda TSJ alikuwa anashinda ghetoni kwangu anacheki movie pale Kilakala Morogoro. Anajitahidi japo si mzuri sana so akienda CDM hatasikika kabisa atamezwa na watu wenye data zao.

mkuu hapo kwenye red inaonesha kama umemnyangurunyanguru e.wasita
 
Jf members wengi wanazungumza kwa ushabiki…bamura na bakari, wanawake na wanaume wa mkoa wa mara hawampi bakari ubunge..msidanganyike

tafuta mbunge wakuchaguliwa wa kike mkoa wa mara…esther & esther ni opportunist wote: Huyu wa ccm na wa cdm wamezidiwa.

Ile aggressiveness yake na utani wa tyson ndio turufu yake kwa wana-mara..the “man of the people” hana kundi, yeye anachana live. Kingine dawa ya vilaza cv ya ughaibuni (3 degrees za american university), jamani shule ya bulaya ya form 4 ya kuungaunga alafu nasikia mwingine bongo pop idol, cdm mshukuru wassira kawapa esther mlikuwa hamna watu, vyote vya esther "mamluki" kavitoa kwa mzee wasira..the gift that keeps giving....political power hata watoto wake wana-dominate upande wa pili
 
Jf members wengi wanazungumza kwa ushabiki…bamura na bakari, wanawake na wanaume wa mkoa wa mara hawampi bakari ubunge..msidanganyike

tafuta mbunge wakuchaguliwa wa kike mkoa wa mara…esther & esther ni opportunist wote: Huyu wa ccm na wa cdm wamezidiwa.

Ile aggressiveness yake na utani wa Tyson ndio turufu yake kwa wana-mara..the "man of the people" hana kundi, yeye anachana live. Kingine dawa ya vilaza cv ya ughaibuni (3 degrees za american university), jamani shule ya bulaya ya form 4 ya kuungaunga alafu nasikia mwingine bongo pop idol, cdm mshukuru wassira kawapa esther mlikuwa hamna watu, vyote vya esther "mamluki" kavitoa kwa mzee wasira..the gift that keeps giving....political power hata watoto wake wana-dominate upande wa pili
 
Majungu hayo ataenda wapi? Ccm ndicho kimemjenga na kumpatia nguvu alizo nazo kwani hao akina mawazo wako wapi si ndio kwisha yao cdm ina wenye hati miliki nyinyi wengine ni wachoma mkaa tu.

Mbona jazba sasa??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama anahamia Chadema na kuwa mwanachama wa kawaida kama wengine hakuna shida. Lakini kama anakuja na masharti yoyote yale, basi abaki huko huko ccm apiganie nafasi yake.
 
alafu nasikia mwingine bongo pop idol, cdm mshukuru wassira kawapa esther mlikuwa hamna watu, vyote vya esther "mamluki" kavitoa kwa mzee wasira..the gift that keeps giving....political power hata watoto wake wana-dominate upande wa pili

Bila shaka una matatizo makubwa sana ndani ya mukichwa yako. Esther Wasira ni graduate from school of Law ya chuo kikuu cha Dsm, sasa wewe hizi pombe unazozimua asubuhi asubuhi zinakufanya ujiropokee tu hovyo hovyo.
 
Last edited by a moderator:
CDM inahitaji sana wanachama, lakini si wa aina ya Bulaya. Huyu anafaa kwa Momose Cheyo.
 
Kama Esther Bulaya anataka bright future yake politically aachane na huyo mzee pamoja na CCM yao aje CHADEMA kwenye tumaini jipya litakalomwangazia future yake kisiasa. Hakika hawakawii kumkolimba huyu binti akiendelea kujipima nao ubavu. NIMEMALIZA

Chadema Bunda hana nafasi. Yupo Kamanda chipukizi Ester wassira. kama hatokwepo kwenye balot paper mi sipo

 
Bila shaka una matatizo makubwa sana ndani ya mukichwa yako. Esther Wasira ni graduate from school of Law ya chuo kikuu cha Dsm, sasa wewe hizi pombe unazozimua asubuhi asubuhi zinakufanya ujiropokee tu hovyo hovyo.


Nisaidieni wakuu 'HUYU ESTER WASIRA ALIYEIMBA BONGO FLAVOUR WIMBO UITWAO "sheila" mwaka 2003 ... ndio huyu alisinda pop idol ...KUIMBA NI KIPAJI PIA..MURA GRADUATES HAWAIMBI, WASSIRA KAMSOMESHA ESTHER.
 
Last edited by a moderator:
huyo mtu kazi yake ni kubishana na cdm na kuacha jimbo lake likiteketea kwa umaskini.ni fisadi mwingine huyo.esther mchane tuu usimuache.
 
Umeona eeeh
Huyu dada hafai kabisa kabisa kuja CHADEMA. Ni mtu hatari sana katika ustawi wa CHADEMA.

Nilimwona Igunga na Arumeru Mashariki jinsi alivyokuwa akipanga hila za kimafia kabisa kwa nia ya kuwaangamiza wanaCHADEMA.

Kama CHADEMA watakubali kumpokea huyo dada huenda mimi ni kawa mtu wa kwanza kuacha kuinga mkono Chadema tena humu humu mtandaoni.

Hata mimi namtazama kama unavyomtazama wewe,ila waache CDM wampokee lakini awe mwanachama wa kawaida tu maana lile jimbo kuna watu wengi vichwa kama Esther Wasira!
 
Mh.STEVE WASILA AMERUDI LINI KUTOKA MSITU WA GOMBE!!!!!!!!!!!!? NAULZA TU MODE GO,GO,GO,GO,GO, ESTER BULAYA!!!!!!!!!!!
 
Wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji. Awapishe wengine wainyanyue Bunda,
 
Wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji. Awapishe wengine wainyanyue Bunda,

Hapishwi Mtu hapa...Mtu aje ang'oe mizizi kama anaweza....Bunda haikuwepo kwanza ilikuwa Serengeti akaipigania, akichoka atampa Esther Wassira sio Esther Bulaya...Wewe kabila gani? Mijitu Mara lazima upigane, muulize Valioba alipigwa
 
Haya tena sasa PIGO KUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI NA UVCCM. Ni pigo jingine kubwa kwa chama cha mapinduzi na umoja wa vijana wa CCM (UVCCM)baada ya lile la kujiengua kwa makada wao maarufu James Milya , Ally Bananga,Diwani Maarufu Alphonce Mawazo . Sasa pigo hilo limekuwa la kuumiza zaidi baada ya kiongozi maarufu na kada maarufu wa chama hicho Easter Bulaya kutangaza nia ya kujiengua katika chama hicho baada ya kupata mizengwe mingi kutoka kwa kiongozi wa chama na mbunge wa Bunda steven Wassira. Kwa takriban mwaka mzima sasa wawili hao wamekua katika mgogoro mkubwa wa kimaslahi kiasi cha Mh. Easter Bulaya kutaka kujiengua ndani ya chama hicho.

Akiongea na waandishi wa habari leo jioni Easter alikiri kuwepo kwa mgogoro mkubwa kati yake na Steven Wassira baada ya kusema kuwa Wassira anaogopa kutoka madarakani kwa kuwa anajua Easter yuko tayari kulichukua jimbo hilo la Bunda. Pia alisema wananchi wamemchoka Wassira kutokana na ahadi hewa zisizo na utekelezaji, pia matumizi mabaya ya fedha za umma ambapo ametumia takriban Mil 27 kupaka rangi tu katika hospitali ya DDH ya wilayani bunda. Pia Easter aliendelea kusema kuwa fedha zilizotolewa kama msaada kutoka benki ya dunia kwa ujenzi wa shule ya Bunda hazijulikani zilipo.

Easter aliendelea kusema hayo ni machache tu ila kwa leo ameweka wazi nia yake ya kujiengua na chama hicho bila kushurutishwa na mtu yeyote

Hii ina uwezekano mkubwa sana wa kuwa uongo, lakini ikitokea ikawa kweli sitashangaa maana huyu kule CDM ni shemeji yao kupitia mheshimiwa HM, akienda kule atakuwa amemfuata mwenzie, na hiyo ni sawa pia.
 
Back
Top Bottom