Vuta nikuvute Kati ya Steven Wassira na Ester Bulayaa: Mmoja atishia kujitoa CCM!

Wasira jaribu kuona AIBU umekuwa mtu mzima. Ww tangu enzi za mwalimu Nyerere bado tu unataka madaraka? Vijana wote waliojaribu kutaka kukupinga jimboni umewamaliza kisiasa na ki uhai. Waachie vijana jimbo lao la BUNDA ww umeshakuwa USED SANA.
 
bulaya hatumtaki CDM abaki huko huko magambani maana huwa anazomea sana wapinzani bungeni.
Umeona eeeh
Huyu dada hafai kabisa kabisa kuja CHADEMA. Ni mtu hatari sana katika ustawi wa CHADEMA.

Nilimwona Igunga na Arumeru Mashariki jinsi alivyokuwa akipanga hila za kimafia kabisa kwa nia ya kuwaangamiza wanaCHADEMA.

Kama CHADEMA watakubali kumpokea huyo dada huenda mimi ni kawa mtu wa kwanza kuacha kuinga mkono Chadema tena humu humu mtandaoni.
 
Wanasiasa wote wanaangalia Maslahi kwanza. iwe CCM iwe upinzani.

Halafu wananchi tulivyo wavivu wa kufikiri, tunakuwa wepesi wa kununua maneno yao.

Tunatakiwa tubadirike otherwise, nchi itaendelea kudidimizwa na wanasiasa wabinafsi na matapeli.
 
Miongoni mwa wabunge vijana ninao wakubali binafsi ni Ester Bulaya, kwa maslahi mapana ya taifa letu ni mzalendo!
Unamkubali kwa uzalendo upi?
Huyu ndio mwanamke anaeongoza bungeni kuzomea na kutukana matusi ya nguoni wabunge wa Chadema.

Pia huyu ndiye anapanga na kuratibu matukio ya kimafia dhidi ya wanachadema kwenye chaguzi ndogo za Igunga na Arumeru Mashariki.
She is a dangerous woman.
 
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu. Namkaribisha Bulaya CHADEMA .
Itakuwa na msaada gani kwa CHADEMA?
I tell you bora Shibuda kuliko huyu mwanamke.

CHADEMA mjifunze kwa mamluki wanaowasumbua sasa ndani ya chama.
 
Kama Esther Bulaya anataka bright future yake politically aachane na huyo mzee pamoja na CCM yao aje CHADEMA kwenye tumaini jipya litakalomwangazia future yake kisiasa. Hakika hawakawii kumkolimba huyu binti akiendelea kujipima nao ubavu. NIMEMALIZA

Kha....Hivi na wewe huwa unakuja huku kwenye siasa??
 
Umeona eeeh
Huyu dada hafai kabisa kabisa kuja CHADEMA. Ni mtu hatari sana katika ustawi wa CHADEMA.

Nilimwona Igunga na Arumeru Mashariki jinsi alivyokuwa akipanga hila za kimafia kabisa kwa nia ya kuwaangamiza wanaCHADEMA.

Kama CHADEMA watakubali kumpokea huyo dada huenda mimi ni kawa mtu wa kwanza kuacha kuinga mkono Chadema tena humu humu mtandaoni.

Mkuu inaonekana una habari zake huyu dada hebu tushushie humu ndani...
 
CDM tunaye Lione Messi wetu (read Ester Wassira)

Ester Wassira for Bunda constituent 2015
 
tatizo si Wassira,tatizo si Bulaya , tatizo ni hivyo viti vya upendeleo .mwanasiasa asiye na jimbo basi hufanya ujanja. ili achukuwe jimbo.sasa hapo moto lazima uwake. kama busara haitotumika. mh BULAYA kuhama chama watu huwa hawaagi. au unatishia nyauuuuu
 
Namfahamu Esta Bulaya Tangu anasoma kile chuo cha uandishi wa habari cha DSJ hadi alipopata kazi Uhuru gazeti na kisha kujiingiza UVCCM. Hana sifa hizo kama mnavyodhani, mnamu-over rate!

Mimi namfahamu zaidi yako. Kabla hajaenda TSJ alikuwa anashinda ghetoni kwangu anacheki movie pale Kilakala Morogoro. Anajitahidi japo si mzuri sana so akienda CDM hatasikika kabisa atamezwa na watu wenye data zao.
 
Gambas Sawa tuh,na ni vizuri tuh kwa wao wakigombana,tena ikiwezekana wauane kabisa,,aibu kubwa juu yao,wanataka kutoana roho eti kisa wale kodi zetu watz?wamalizane tuh

tena wakihitaji petroli kama wanataka kutiana moto waseme tutawapatia walipuane watokomee jehanam..!!

Kwani nani ana mapenz na mafisadi wa nchi hii??nani anaguswa?eti kulumbana kwa mafisadi kunishughulishe akili yangu??hell no..!,

waache watoane roho..
 
Last edited by a moderator:

FACT CHECK: NEC KURA 2135 KATI YA 2397.....TYSON NI JEMBE CCM NA BUNDA HATA KESHO AKITAKA UBUNGE HAKUNA ESTHER BULAYA, ESTHER WASIRA ANALIPINDUA JEMBE LILE, ASK WARIOBA.PERIOD..MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.. TYSON KWAO NA CCM ANAPENDWA ILA SABABU NI MPAMBANAJI HANA VIMEO VYA MAADILI ANASHAMBULIWA SANA..BAADA YA DODOMA CONGRESS ESTHER KNOWS...TALE OF TEMBO (W) vs SISIMIZI(B)...........
 
Gambas Hapo tunasema ngoma inogile!
Kwa ushauri wangu namwomba Esther Bulaya kwa haraka sana kama nyuki aungane na na wajina wake dada Esther
Wassira ambaye yuko CHADEMA na wala hataki kusikia longolongo za baba yake Wassira.

Wassira ni mzee mwenye matatizo ya kisaikolojia na inaelekea ana mtindio wa ubongo! Haiwezekani mtu ambaye alikuwa kwenye serikllia ya mwalimu Nyerere akiwa kama RC, Mbunge na Waziri kwenye miaka ya 70 mpaka leo anang'ang'ania jimbo ili aendelee kula pesa ya Watanzania!!!Hili haliwezekani na halikubaliki. Wassira lazima atoswe!

Da Esther Bulaya tunasema HAMIA AIRTEL(CHADEMA) na karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Hapo tunasema ngoma inogile!

Back
Top Bottom