Vuta hisia zako..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
ni jioni,umemmiss umpendae,unaamua kwenda sehemu kupata soft drink ili upoteze mawazo na mda.unafungua kinywaji chako ndani ya kizibo unakutana na neno VUTA HISIA ZAKO!.yaani unalazimishwa kuvuta hisia!?naudhika sana.mia
 
nadhani kiukweli soft drinx huwaga hazipotezi mawazo labda zile ngumu kumeza zenye color ya h2o,mia.
 
poor marketing techniques...ndo tatizo la maafisa masoko wa bongo...hawafikirii upande wa pili wa vitu wanavyoweka kama kutangaza au kuuza bidhaa..
 
Back
Top Bottom