Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

kikwete rudi nyumban uone yanayoendelea.

Atasaidia nini wakati kalianzisha mwenyewe?watu wanauana yeye anashangaa makasri na kuendelea kusign mikataba ya kuuza nchi!wapi pinda,wapi mzee wa kukat utepe!wanashindwa kutoa tamko na kuchukua hatua?idiöts.
 
Hatuna polisi, tuna vihiyo mbinu walizofundishwa vyuoni mbona hatuoni. Au wameingia kazini kwa rushwa. Wapige risasi za kweli!
 
Hizi damu za kuchinjana zina laana mbaya sana maana huwa zinamlilia Mungu toka ardhini,believers wake up for prayers,this contrary spirit ig gaining speed!
 
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.

Toka saa 2 ad saiz huna update. au na we umeuwawa?
 
Kuna habari kuwa usiku wa kuamkia leo kuna askari mwingine ameuawa na safari hii ni askari wa kike ambaye inasemekana nae ameshambuliwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa kikundi cha UAMSHO,huu utakuwa ni muendelezo wa mauaji ya askari huko Zanzibar baada ya jana kuriporiwa kuuawa kwa koplo Said Abdulrahman...

More updates to follow.

Nape na Nchemba, hii ni nafasi nyingine kwenu kukipazia Chadema. Kitakuwa kimehusika na mauaji huko zanzibar, si ndio eeh??
 
Atasaidia nini wakati kalianzisha mwenyewe?watu wanauana yeye anashangaa makasri na kuendelea kusign mikataba ya kuuza nchi!wapi pinda,wapi mzee wa kukat utepe!wanashindwa kutoa tamko na kuchukua hatua?idiöts.

Anasubiri yakisha tokea watu wakifa yeye aje alie mbele ya waandishi wa habari.maana huyu kulia ndio anachoweza kufanya.
 
Silaha walizo nazo polisi si za kutumia kupambana na Uamsho, ni za kupambana na wafuasi wa Chadema.
 
Back
Top Bottom