Vurugu zatokea CCM Tabora. Ni baada ya Jina la Lucas Seleli kurudishwa kugombea NEC kinyemela, Mpogolo ahusishwa

Ukiona kwamba, ninyi wenyewe kwa wenyewe mnashindwa kufanya maamuzi sahihi basi ni dhahiri kuwa wote hamfai kushika nafasi hizo.

Tanzania, tunahitaji mjadala wa kitaifa juu ya mfumo wa vyama vingi ila kwa sasa tunafanya maigizo ya watoto wa shule za upili na vitoto vya chekechea!!
 
Duh! Hawajabadilika?! Au ndio ule usemi 'viatu vipya miguu ileile'.
 
Mtu mwenyewe kishajichafua mwenyewe kwa kauli na matendo yake kwa zaidi ya miaka 20 Serikalini. Hakuna hata sehemu iliyobaki mwilini mwake ya kuongeza uchafu.

Huu ni unafiki wa kupitiliza wa mashetani... eti aache kumchafua Rais hivi huyo mpogolo ana ubavu gani wa kujiamulia hayo yeye mwenyewe?

Huyo mwenyekiti anaenunua wapinzani ndo eti asichafuliwe? Kichefuchefu!!@
 
Back
Top Bottom