Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

MODS hii tetesi mmeiondoa kwa faida ya nani?
Inabidi waTanganyika waijue hii tetesi, sisi tuna ndugu zetu kule Zenj na hili wanalifahamu!!

Kuna tetesi ya muda mrefu sasa Visiwani kuwa pesa ya hao wana Uamsho inatoka Uarabuni, hasa nchi za Oman na Muscat.Siyo siri mapesa hayo yanachangwa misikitini na kupelekwa Visiwani unofficially.

Vinara wa Uamsho huo ni vizazi vya wale waarabu waliokimbia mapinduzi ya 1964.
Can we dare talk openly!!!!!
 
Hicho chama cha UAMSHO Kinafanya mambo bila kufikiri,wanataka kuiga mambo ya Sudan kusini.
 
Hivi kile kikundi cha uamsho kina baraka za chama gani kule zenji? au chenyewe ndiyo chama cha siasa?

Sorry,
I'm fed up!
 
Elimu zaidi kwa wazanzibari waliofanya matukio hayo inahitajika...very crazy...no muungano=kuchoma makanisa?... Ubongo masaburi unahusika!
 
Wa pesa za arabuni na Iran, Cuf inawabeba na pia viongozi wengi wa kisiasa Zanzibar
 
Najaribu kufikiria ,kutafiti chanzo cha wana-uamsho kudai Zanzibar huru, sijapata majibu. Kuna nini kinachowakera mpaka watake kujitenga. Hivi nini sababu ya msingi kabisa ya kilio chao.
 
Kweli kaka, huu uhamsho una mkono wa kidini. Hakuna ubishi. Nyie CCM na CUF ebu wapeni uhuru wao hao wapemba na waunguja kama wanavyotaka.
 
Hujui au unajifanya? Hawa ni magaidi wa kidini ila wanaungwa mkono na wanasiasa wote wa Zanzibar
 
Sponsor wao anakuja kesho kuratibu matumizi ya misaada/pesa yao. This is no coincidence.
 
Ni ' upumbavu... ' kufanya vurugu kwa kuchoma makanisa kwa kisingizio cha Muungano .Kama hamuutaki Muungano basi daini hilo la Muungano na si Kuchoma Makanisa ! Na hilo la kusambaza vipeperushi kuwataka Wa-bara waondoke Z'bar...! Nyie Mna hatari eti...!!! Tumieni busara kuamua Mambo yenu Jaman !!! Tanzania hatutaki umwagikaji wa damu .
 
Hujui au unajifanya? Hawa ni magaidi wa kidini ila wanaungwa mkono na wanasiasa wote wa Zanzibar
inawezekana ni kweli maana mpaka sasa hivi ukiondoa huyu jamaa wa polisi, hakuna kiongozi wowote wa kisiasa(ccc/cuf) aliyezitolea tamko vurugu hizi...
 
Huu mkoa una matatizo sana, ilipaswa wapelekwe wakurya wengi zaidi kule kuweka mambo sawa kwa kutumia virungu na mabomu ya kutoa mchozi.

Hawa akina Yakhe ni wabaguzi na wadini sana
Yaani hao ni wapumbavu wanahusisha KANISA NA SIASA KIVIPI.Kwa nini tumewaacha wanatuchezea?Tanganyika ni nchi kubwa na yenye rasilimali za kutosha.Kwa nini tusiwaache waende zao???Kwanza tunawasaidia sana hawana kitu,wanategemea karafuu tu.Mimi naona waende zao na hapo ndipo Tanganyika itaendelea kwa kasi.Wanasingizia uamsho wakati ni WAHUNI
 
Inaelekea umefurahi sana,PhD?Agiza wisik kabisa!Sijambo lakufurahisha hata kidogo,Linaleta picha mbaya sana na muelekeo ambao hatima yake...........!

Ukiona Mtu mzima anashabikia jambo la kitoto na la kijinga, kuna mawili, ama anachanganyikiwa, ama ni mdau!
 
Ikiwa utawala uliopo madarakani umeingia kwa nguvu ,usitegemee nchi itatulia tuli ,wananchi watatafuta njia mbadala ikiwa kuchoma misikiti au makanisa ,chochote kilicho rahisi kwao, tuseme hawautaki muungano .itakuwa kinyume kama wakichoma misikiti na kusema hatuutaki Muungano.

Mauaji ya Mwembe chai wengi wenu mlishangilia na mlifurahi sana ,hamkusema kitu ,kuchomwa kwa msahafu Zanzibar si serikali ya Muungano wala kanisa halikusikika kukemea ,mlimezea au mlibana kimya ,wazanzibari au hao mnaowaita wamuamsho si kuwaona kutoa fatwa ya kumkata kichwa ,ila uvumilivu una kikomo .jaribuni kujiuliza mbona ulipochomwa msahafu pale Zanzibar hakuna au hakukutokea fujo ? Kumbuka waliochoma ni wakiristo.
 
Back
Top Bottom