vurugu zaibuka kati ya kantalamba sec na sumbawanga TC

waje uaraiani watajutaaaaa, ( Enyi vijana sikilizeni zingatie masomo, wazazi wawasomesheni kwa gharama nyingi sans, lakini matokeo mwafukuzwa shuleni ....... Mapenzi na masomo vyapotea (quoted ...Baraka Mwinsheen ,,,,..zilizopendwa enzi zile....)
 
chuo cha vunjwa vioo vyote na wanachuo wamepigwa vibaya mno wengine walazwa na wengine hawaeleweki walipo kisa ni mwanafunzi wa kantalamba kupigwa na kunyang'anywa simu wakiwa na demu wake kibindi cha disco hadi sasa hakieleweki. maana ni shule nzima ilivamia chuo.

hii thread peleka facebuk, halafu nyie badala msome mnaleta habari za mademu, acheni mambo ya kishamba
 
Iyunga miaka ya 70, hahahahaa, mjomba wangu aitwaye SIZYA alikuwa hapo na vurugu saana. Yeye alikuwa mpiga vichwa kuanzia mpira hadi watu na koti lake refu la VASCO dAGAMA.

Tambaza walikuwa kama Talibani hadi inafika sehemu hujui wanataka nini.....

Hawa leo ndiyo wanaanza. Pumbavu kabisa.
Kweli Sumbawanga mnaishi maisha ya long time kishenzi, fujo hizo zilifanywa Tambaza long time kishenzi, pia Iyunga sekondari, baada ya zama zile kuisha, huko kwenu ndio zimaanza
 
Back
Top Bottom