Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 10,263
- 17,613
- Thread starter
- #81
Nadhani nchi wanakotoka wahamiaji zina jukumu kubwa la kuboresha mifumo ya kiuchumi na kijamii ili vijana wavutiwe kutumia nguvu kazi zaso kwenye nchi zao. Ethiopia ina Rais mpya kuanzia mwaka jana Abiy Ahmed, amekuwa anafanya reforms nyingi toka amechukua madaraka. Ingawa si rahisi kuona matokeo ya reforms zake kwa muda mfupi lakini ndani ya miaka 3 tunaweza kuona wimbi la vijana wa Ethiopia likipungua kwenda South Africa.Nani sasa mwenye jukumu la kupunguza uhamiaji?
Zimbabwe bado ina safari ndefu kwa vile Mnangagwa alikuwepo miaka yote ambayo Robert Mugabe alikuwa ana haribu uchumi. Pengine wanahitaji mabadiliko zaidi ili waboreshe hali za uchumi za wananchi wao.