Vurugu za uchaguzi Uganda ni Kielelezo cha Dr Slaa ni mtu wa aina gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za uchaguzi Uganda ni Kielelezo cha Dr Slaa ni mtu wa aina gani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, May 13, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Kwa mwezi mzima nimekuwa nikifuatilia vurugu za uchaguzi za uganda kutokana na kile wanachodai kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki zikiongozwa na Dr Kiza Besige kuongozi mkuu wa upinzani nchini humo zimenifanya nimtafakari Dr Slaa.

  Ukiangalia mazingira ya uchaguzi wetu ulivyofanyika na jinsi tume ya uchaguzi ilivyofanya madudu na ukiangalia jinsi Dr Slaa alivyokuwa anaungwa mkano na Watanzania wengi utagundua kuwa mtu huyu ni mtu wa kipekee kabisa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kwa Watanzania kwa kuwa hakutaka kusababisha vurugu pamoja na kuungwa kwake mkono na watu wengi hakujitokeza hadharania kushawishi vurugu. Jambo la pili niliojifunza ni kuwa Dr Slaa anadhamira na uchungu wa kweli kwa Watanzania hasa pale alipoiandikia tume ile ya kipuzi ya uchaguzi juu ya kutokukubaliana na matokeo halafu mwanaume huyu akaa kimya ili kuepusha vurugu hakika hii imeonyesha hakuwa hana uchu wa madaraka, pili ameonyesha kuwa lishindikalo leo litawezekana kesho na ameamua kujipanga upya hakika mtu huyu anamaono (vision). Jambo la mwisho nililojifunza ni katika nchi za Afrika mashariki watanzania ni waoga wengi wetu hatujiamini katika kudai haki zetu na viongozi wetu wameitumia udhaifu huo kwa faida yao hali hii ya kutojiamini kwetu inafanya viongozi wetu kufanya mambo ya hovyo bila wasiwasi kutokana na ujinga wa watu wetu wengi na hili tusipoingalia itatugharimu katika haya mambo ya soko la pamoja la Afrika mashariki.
  Angalizo kwa tume na Serikali: Mtu hupotea njia mara moja, pili uungwana ni vitendo nasema hivyo kwa sababu uvumilivu wa mtu unakikomo wasitegemme tena uchaguzi ujao kufanya hayo walifanya katika uchaguzi huu nawaambia hali itakuwa mbaya sana. Sioni sababu ya kufika huko kwa ajili ya kulinda maslahi ya kikundi kidogo tume huru ni muhimu na haki lazima itendeke na ionekane inatendeka ili kusiwe na hayo yanayotokea kwa watu. Tanzania ni yetu sote tusiitafutie balaa. Mungu Ibariki Tanzania.
   
 2. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  2015 NEC wakirudia ya mwaka jana watafrahi
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hapo umenena ndugu, hao wanaosema Slaa na cdm ni watu wa vurugu hawajaangalia kwa mapana, ilikuwa ni kazi rahisi Slaa kuhamasisha wananchi na hakika wangehamasika tu.
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na ndio maana hao NEC mpaka leo hawataki kuweka matokeo ya kura za uraisi katika tovuti yao, nadhani wanaona aibu jinsi walivyo fanya uchakachuaji bila aibu.
  Kwa maoni yangu mimi nawashauri wasije kurudia tabia yao chafu wawaache wananchi wachague kiongozi ambae wanamtaka.
   
 5. escober

  escober JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  you spoke my mind
   
 6. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  wakirudia tena patachimbika, hongera dk slaa.
   
 7. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Umenena ukweli tu Mkuu!
   
 8. z

  zamlock JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  safi sana umenigusa mkuu
   
 9. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #9
  May 16, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakwambia 2015 mbali kikwete akae tayari kurud kwao na kuiacha ikulu kwan wanayoyafanya yanatuuma sana tena kupita maelezo
   
Loading...