Vurugu za Mwanza nani alaumiwe?


J

Jafar

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
1,138
Likes
17
Points
0
J

Jafar

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2006
1,138 17 0
View attachment Mwanza moto.pdf

Ofisi ya ccm iliyopo Nera (airport road) jiji la mwanza ikiungua moto katika harakati za watu kudai haki zao tarehe 01.11.2010. Katika nyumba hii ndipo katibu wa CCM alichomwa kisu na meya wa jiji katiwa mbaroni kwa tuhuma za mauaji alipofika airport June mwaka huu.
 
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
3,936
Likes
1,413
Points
280
Gwamahala

Gwamahala

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
3,936 1,413 280
Wakulaumiwa ni Masha period!
 
The Dreamer

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Messages
1,280
Likes
0
Points
0
The Dreamer

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2009
1,280 0 0
CCM wenyewe wajilaumu
 
M

Mwera

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
967
Likes
2
Points
0
M

Mwera

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
967 2 0
Wakulaumiwa ni ccm kumpitisha masha kura za maoni wakati alishindwa vibaya,ila Peoples power yawana mwanza imempitia kama tsunami,viva wenje,viva mwanza.
 
L

Lubaluka

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
497
Likes
5
Points
35
L

Lubaluka

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
497 5 35
Wakulaumiwa ni NEC & CCM fullu stop - mwanzo mwisho hawakwepi hilo kosa lao .
 

Forum statistics

Threads 1,250,716
Members 481,468
Posts 29,743,024