Vurugu za mombasa baada ya kifo cha Aboud Rogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za mombasa baada ya kifo cha Aboud Rogo

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Aug 31, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Ghasia zilizozuka baada ya kuuawa kwa mhubiri mashuhuri mjini Mombasa Aboud Rogo. Vurugu zilitokea siku mbili mfululizo katika maeneo ya Mombasa mjini.
  [​IMG]
  Baba mkwe wa Rogo’ alinusurika mauaji hayo yaliyofanywa saa za mchana akiwa na mwanawe ambaye ni mke wa marehemu Rogo pamoja watoto wao

  [​IMG]
  Polisi wa kupambana na ghasia walilazimika kushika doria ghasia zilipozuka ingawa sasa wanasema hali imedhibitiwa.
  [​IMG]
  Rogo alikuwa anasafiri kwenye gari hili na familia yake wakati aliposhambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana kwa mujibu wa polisi.Wafuasi wake wanadai kuwa alikuwa mwathirika wa mauaji ya kupangwa na hivyo wamewalaumu maafisa wa usalama.

  [​IMG]
  Maiti ya Aboud Rogo ikibebwa na raia katika barabara kuu ya Mombasa kuelekea Malindi siku ya Jumatatu.
   
 2. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,056
  Likes Received: 7,079
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa mwenye miwani mieusi anaweza kuwa nani katika mkasa huu?
  Naona kama katokea sana na kushiriki kwa ukaribu sana.
   
Loading...