Vurugu za kisiasa arusha video

Asante sana kwa vielelezo...!

Nilikua nauliza...! Hivi polisi wanapotoa kibali cha maandamano huwani cha maandishi au ni cha mdomo? Kama ni cha maandishi kinastahili kitolewe ndani ya muda gani?

Je inapotokea polisi wanasitisha maandamano, je huwa wanasitisha kwa kutoa kauli tu au na wao wanastahili watoe notisi kwa maandishi? Je notisi hii inastahili iwe ni ya muda gani? NIliona Mkuu wa Jeshi la polisi amesitisha maandamano kwa kutoa kauli tu kwenye TV je, kama mtu hauangalii TV uatapataje ujumbe? na je TV ni chombo maalum kisheria kinachotambulika kutoa matangazo ya kisheria?

Naomba wanasheria mnisaidie tafadhali....!
 
asante sana kwa vielelezo...!

Nilikua nauliza...! Hivi polisi wanapotoa kibali cha maandamano huwani cha maandishi au ni cha mdomo? Kama ni cha maandishi kinastahili kitolewe ndani ya muda gani?

Je inapotokea polisi wanasitisha maandamano, je huwa wanasitisha kwa kutoa kauli tu au na wao wanastahili watoe notisi kwa maandishi? Je notisi hii inastahili iwe ni ya muda gani? Niliona mkuu wa jeshi la polisi amesitisha maandamano kwa kutoa kauli tu kwenye tv je, kama mtu hauangalii tv uatapataje ujumbe? Na je tv ni chombo maalum kisheria kinachotambulika kutoa matangazo ya kisheria?

Naomba wanasheria mnisaidie tafadhali....!

mkuu nadhani haya mambo watayaangalia kisheria zaidi ...na tutahuaukweli uko wapi..ngoja tuwasikilize kwa sababu kesho wamedai wanawapeleka mahakamani
 
Hapa lazima sheria ifuate mkanda wake, kama Mchungaji Slaa kavunja amri ya police lazima achukuliwe hatua za kisheria bila kujali
 
Pole sana wafiwa na wote waliojeruhiwa. Mungu azilale pepa roho zote.

 
Last edited by a moderator:
Nimependa sana huo wimbo....hasa kwenye kibwagizo cha vijisenti........asante sana mdau

Pole sana wafiwa na wote waliojeruhiwa. Mungu azilale pepa roho zote.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom