Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Polisi wanapambana na wanachi huko mbagala kwa kutumia mabomu ya machozi, ni baada ya vurugu zilizotokana na mtoto mmoja kumnyanganya mwenzake kitabu cha dini na kukikojolea, chanzo:radio one stereo
 
Penda kupitia thread za wenzako unakurupuka tu kama umetoka kufumaniwa
 
Niko kwenye dalala natokea mbagala kwenda posta nasikia waislaamu wanaandamana na police wanajalibu kuwatawanya kwa kupiga mabomu ya machozi kisa mtoto kakojolea msaafu.
Sasa maandamano ya nini? na huyo dogo mwingine si achukue bible akojelee ili ngoma iwe droo.......hawa ndugu zangu reasoning yao huwa ni hafifu kabisa...
 
Hapo ililkuwa ni swala la kuthibitisha kile anachoamini kila mmoja wao. Aliyeshindwa kuthibitisha imani yake ni vema akabidili imani na kuungana na huyo mwenzake kwa sababu ukweli ameuona. Hakuna sababu ya kuleta hali ya sintofahamu.
 
Sasa maandamano ya nini? na huyo dogo mwingine si achukue bible akojelee ili ngoma iwe droo.......hawa ndugu zangu reasoning yao huwa ni hafifu kabisa...

Mashehe wanaleta noma.. Bible ipo kila sehem hadi kwenye i pad kwa hiyo hata wakiinyea sisi tunawaona mabwiga tu ..dini inatakiwa ikae rohoni na wala sio maandishi.. Kwa hio panya angekula wangeandamana pia?
 
hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....

Hatua gani? Dogo ni mtafiti, alitaka kuthibitisha dhana kuwa ukikojolea msahafu unakuwa chizi, kafanya, katambua sivyo.
Sasa iweje apigwe au achukuliwe hatua?
Huyo alimwambia mwenzake atakuwa chizi, ndo anyooshwe, kauponza msahafu.
 
We nawe ni mpumbavu wa kwanza yaani akitokea mtu akakojolea biblia basi waislamu wote ni wapumbavu kweli wewe ni ovyo ninashaka na uelewa wako
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....
 
hapa mkuu usirukie kwenye conclusion.....tujue kwanza ilikuwaje....kama ni wakristo wamefanya hivyo wachukuliwe hatua....ni lazima dini zote tuheshimiane.....kila mtu ana uhuru wa kuabudu.....

Bi Preta, rudia kusoma chanzo cha huo uzi, watoto walikua wanabishana, mwingine (Nadhani alikua Mwislam) alimwambia mwenzie, ukikojolea Msaahafu tu unakua Kichaa, dogo si akajaribu? well hatujui huyu aliye jaribu ni dini gani? sasa hapo ndo issue, dogo sio kichaa ila kuna watu wanataka awe kama sio kichaa basi awe marehem!
 
Kuwa makini na comments zako. Aliyekwambia indivijo wa miaka 7 kwa Waislamu ni mtoto ni nani, ikiwa she-indivijo wa miaka 6 anatosha ku-do-iwa na indivijo wa kiume wa ova 50? (Na sio kinguonguo)

Kwa kifupi sheria za hapa zingekuwa legelege, umri huo unaousema saa hizi angekuwa anajiandaa kwa sherehe ya mwaka mmoja wa ndoa.

Kwa mujibu wa Bhukari, huyo ni mkubwa tu, tena sana.

mkuu umenichekesha Masanilo ajaiona ihi ki2
 
Last edited by a moderator:
Awadh ndugu yangu,nakupenda ,na Yesu anakupenda zaidi ndio maana akafa msalabani kwa ajili ya dhambi zetu,damu yake inatutakasa na kutufanya tuhesabiwe haki mbele ya Mungu wa ibrahimu,Mungu wa isaka na Mungu wa yakobo ambaye alimtoa mwanaye wa pekee ili kila amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele,na katika jina la Yesu kila goti litapigwa kwa viumbe vyote wa mbinguni na duniani.nakusihi hawadhi mpokee Yesu kristo awe mwokozi wa maisha yako,yeye ni mfalme wa amani,haya fuata sala hii awadh,sema 'bwana Yesu,mimi ni mwenye dhambi,ninatubu dhambi zangu,nioshe kwa damu yako ya thamani iliyomwagika msalabani,lifute jina langu kutoka ktk kitabu cha hukumu,liandike jina langu ktk kitabu cha uhai,asante Yesu sasa nimeokoka,amen' sasa tutaanza kukufundisha taratibu kuhusiana na imani yako kwa Yesu kristo

Penda kupitia thread za wenzako unakurupuka tu kama umetoka kufumaniwa
 
Mungu wangu si Mungu wa Waislamu, wangu ni Yahweh au Yehova aliyemtoa Yesu akafa kwa ajili yangu. Si Mungu wa machafuko kama mungu allah. Yeye ni wa amani, upendo, utulivu. Na jina lake jingine ni UPENDO.

mungu wa machafuko ni lucifer, yule joka wa zamani aitwaye ibilisi anayewadanganya watu kuwa wakiua wanaingia mbinguni ilhali wanaujaza ufalme wake wa kuzimu, ili washiriki pamoja naye ule moto na adhabu ya milele
Ukweli unabaki kuwa MUNGU hana DINI. Yanayotaka kufumuka NCHI hii ni UPUMBAVU tu. Mwalimu aliuita UDINI kuwa ni UPUMBAVU kwenye hotuba yake kwenye mkutano mkuu wa CCM uliomteua Mkapa kugombea urais kwa mara ya kwanza mwaka 1995.
 
tumekuwa tukiambiwa ukichana msahafu/biblia ukatengenezea tumbaku ukavuta, basi utakuwa chizi. tumekuwa tukiogopa mambo haya. sasa leo dogo ameamua kudhihirishia waumini kuwa hakuna ukweli wowote, ili watu kama ni kumwabudu MUNGU wamwabudub bila kuwa fix za ajabu. kosa lake liko wapi?

Ninachokiona kifuatacho ni kumsomea ALBADIR, lakini MUNGU atamhifadhi ili iwe ushuhuda kwa dini zetu uchwara
 
mtoto wa miaka mingapi? kama yuko chini ya miaka 7,basi hao waliondamana watakuwa na mtindio wa ubongo na FFU wawapige mabomu na vitu vizito.

Hata akiwa na miaka kumi! Kwanza huyo mwenzake inaonekana alitumwa ili amchochee mwenzake akojolee hiyo kitu halafu waanzishe valangati. Iweje watoto mnabishana na mmoja akojolee kisha mwingine akimbie kwenda msikitini ati kushitaki? Kuna kitu hapo.
 
Napenda sana comments zako, hauko biased, naamini hivi ndivyo tunavyotakiwa kuishi kwenye jamii hii ya dini mchanganyiko- hakuna aliye mbora kwenye nchi hii zaidi ya mwenzake. Matusi haya tunayotupiana ni cheche za hatari mno!! Kila mwenye masikio na asikie na kila mwenye macho na aone!!

afu ndo hapo huwa siwaelewi waislam. Hao watoto walikuwa wanabishana kwa utoto wao na wote walikikuwa wadogo. Afu wewe waja kulaani Ukristo wote. Waislam mnapenda kuwa agressive. Na mnamind kumsaidia mungu wenu kaz, et mwamsaidia kuadhibu. Kuna filamu ilitolewa kuhusu YESU ikionesha anaoa na kufanya sex bt hakuna alouawa wala vurugu bt nyie mnavopandikishwa Aggressiveness. Nafurahi sana kuwa upande nliopo kama dini yenu ipo hv.
 
haswaa alafu watu wanalalamika maisha magumu jamani huo muda si wangetumia kutafuta kipato! kazi kwel kwel halafu watu wenyewe watoto walikuwa wanabishana
 
Je chanzo cha tukio mbona hakipewi uzito unaostahili katika kushughulikia jambo hili? Au tukio hili lilipangwa ili kuleta misuguano ya wakristo na waislamu? Suala hili kutokana na mleta uzi, lilianzia kwa watoto, na suala ilikuwa ni kuona kama yule kijana akikojolea huo msaafu atakuwa chizi au la. Hapa hakuwa chizi; je angekuwa chizi waislamu wangeandamana? Swali lingine ni kwamba, kwa nini baada ya huyo kijana kutokuwa chizi huyo kijana wa kiislamu alikimbilia msikitini kwenda kuwaeleza waislamu kwamba kuna kijana amekojolea msahafu? Hamuoni kwamba kuna dalili ya kitu kilichokuwa kimeandaliwa hapa? Labda kama mleta uzi hakutupa habari kamili.

Kinachonishangaza ni kwamba, jambo linaweza kuwa la mtu mmoja au wawili lakini linakuzwa linakuwa la kidini. Kwa nini Mungu anatetewa na wanadamu. Mungu ni Mungu na anabaki kuwa Mungu mwenye nguvu.
 
Back
Top Bottom